Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
mwananchi_official~p~CiIo9aWtO1S~1.jpg


Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
 
Hakuna anayeenda nje ya nchi kufanya shughuli yoyote ya kiserikali bila baraka na ruhusa za Mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi anamchagua yeyote kumumwakilisha popote nje ya nchi lakini kwa hapa nchini itifaki lazima izingatiwe
Na huo ulikuwa mkutano wa Rais sio Mawaziri hivyo Rais kamteua Makamba kumuwakilisha.
 
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa kabisa iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Ndugu yangu saa hizi hii nchi inajiendea tu bora kumekucha basi nchi inaendeshwa ni kama haina Raisi.yale yale yaliuokuwaga Malawi ndio yanatutokea.
 
Back
Top Bottom