Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mwenyewe nimejiuliza hivyo hivyoView attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa kabisa iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Na huo ulikuwa mkutano wa Rais sio Mawaziri hivyo Rais kamteua Makamba kumuwakilisha.Hakuna anayeenda nje ya nchi kufanya shughuli yoyote ya kiserikali bila baraka na ruhusa za Mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi anamchagua yeyote kumumwakilisha popote nje ya nchi lakini kwa hapa nchini itifaki lazima izingatiwe
Labda Jaffo ana udhuru! Waziri Makamba jr ni hodari sana.Mie mwenyewe nimejiuliza hivyo hivyo
Tatizo lugha dadaView attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa kabisa iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Wanayo mentality Ile ya uarabuni ya kiutawala wa kifalmeUnajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu , ana kuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Ndugu yangu saa hizi hii nchi inajiendea tu bora kumekucha basi nchi inaendeshwa ni kama haina Raisi.yale yale yaliuokuwaga Malawi ndio yanatutokea.View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa kabisa iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Huyo unayemtaka bahati nzuri(kwa Makamba) lugha haipandi.View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Hahahahaaaa unakumbuka ya Mulugo? Peleka mwenye uwezo Mama is very smartTatizo lugha dada