Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Niliwaza hivyo nilipoona tu taarifa.
Ndo mujue Rais ajaye
 
Hana uwezo wa hayo masuala na mijadala kama hiyo.
 
Hahahahaaaa unakumbuka ya Mulugo? Peleka mwenye uwezo Mama is very smart
She is not smart from the beginning, unateuaje mizigo halafu baadae uone ni mizito?
Nchi inaenda hovyo sana hii! Huko Executive shagalabaghala, ukienda Judiciary halafu ukulinganishe hata na majirani wenzetu tuu hapo Kenya utabaki unajishangaa maana utaona ni tofauti ya mbingu na nchi.
Sasa fungakazi ni hilo tunaloita Bunge! Kwamba wale watu 300+ ndio wawakilishi wa Watanzania milioni 60? Kweli?
Nchi hii imejaa mzaha mtupu, ni aibu kwetu kizazi hiki kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
 
Hakuna anayeenda nje ya nchi kufanya shughuli yoyote ya kiserikali bila baraka na ruhusa za Mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi anamchagua yeyote kumumwakilisha popote nje ya nchi lakini kwa hapa nchini itifaki lazima izingatiwe
Hili jibu bado haliridhishi, narudia swali la mleta mada, kwanini isiwe waziri anayehusika na mazingira badala yake akapelekwa waziri anayehusika na gesi?

Habari ya kusema kwa hapa ndani, hapo sikuelewi zaidi, ina maana ndani Rais ndio anafuata taratibu, lakini nje anavuruga atakavyo?

Tusikwepe ukweli hapa, Rais hamuamini Jaffo, kama anamuamini angemtuma yeye, na hiki alichofanya amekosea, ndio anazidi kuwafanya hawa jamaa wengine wazidi kujiona wajuaji, anatengeneza makundi kwenye baraza lake la mawaziri bila kujua.
 
Hakuna anayeenda nje ya nchi kufanya shughuli yoyote ya kiserikali bila baraka na ruhusa za Mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi anamchagua yeyote kumumwakilisha popote nje ya nchi lakini kwa hapa nchini itifaki lazima izingatiwe
Swali, kwa nini aende asiyehusika na wizara hiyo?.
 
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Jaffo siyo mtu makini. Anaongea haraka haraka tu mpaka anaongea pumba. Uwezo wake ni mdogo na alipanda wakati wa Magufuli kwa sababu ya u-SNITCH
 
Back
Top Bottom