Kwanini Afrika haijawahi kushinda World Cup

So tufanye nini ili tutwae ubingwa wa dunia?
Sisi hatuwezi, mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya. Inatakiwa tuwape mimba wake zetu, halafu watoto wakiwa tumboni ndio tuanze kuwafundisha kuwa watu bora, wakizaliwa tuwaendeleze kwenye mafundisho hayo, kizazi chao ndio kitakuja kuwa mabingwa, sio wao, ila watoto watakaowazaa
 
Wazo zuri kabisa, Ila bado kuna changamoto za wanaume kunyimwa papuchi na wake zao sijui kama kuzaana kutafauru
 
Back
Top Bottom