Sisi hatuwezi, mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya. Inatakiwa tuwape mimba wake zetu, halafu watoto wakiwa tumboni ndio tuanze kuwafundisha kuwa watu bora, wakizaliwa tuwaendeleze kwenye mafundisho hayo, kizazi chao ndio kitakuja kuwa mabingwa, sio wao, ila watoto watakaowazaa