Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kesho ndio siku ya mwisho kwa Zambia kukubali dili la Trump la kutoa madini yao kwa US ili waendelee kupata msaada wa dawa za UKIMWI. Zambia ina waathirika zaidi ya milioni moja.
Theluthi mbili ya Waafrika wa UKIMWI duniani kote wako Africa Kusini mwa jangwa la Sahara, hii ni idadi kubwa sana.
Ilikuaje UKIMWI ikawa tatizo kubwa hivi Africa ikiwa duniani kote watu wanafanya ngono kwa kiwango sawa tu?!