Kwanini Afrika ya weusi (chini ya jangwa la Sahara) ilipigwa vibaya zaidi na UKIMWI?

Kwanini Afrika ya weusi (chini ya jangwa la Sahara) ilipigwa vibaya zaidi na UKIMWI?

Kesho ndio siku ya mwisho kwa Zambia kukubali dili la Trump la kutoa madini yao kwa US ili waendelee kupata msaada wa dawa za UKIMWI. Zambia ina waathirika zaidi ya milioni moja.

Theluthi mbili ya Waafrika wa UKIMWI duniani kote wako Africa Kusini mwa jangwa la Sahara, hii ni idadi kubwa sana.

Ilikuaje UKIMWI ikawa tatizo kubwa hivi Africa ikiwa duniani kote watu wanafanya ngono kwa kiwango sawa tu?!
View attachment 3581538
Katika dunia ya leo hakuna cha bure. Kimsingi, uhuru wa kweli wa nchi zetu utaanzia pale tutakapoweza kuwahudumia wananchi wetu wenyewe wakiwemo wavyuu wetu.
 
Back
Top Bottom