Lifestyle na ujingaKesho ndio siku ya mwisho kwa Zambia kukubali dili la Trump la kutoa madini yao kwa US ili waendelee kupata msaada wa dawa za UKIMWI. Zambia ina waathirika zaidi ya milioni moja.
Theluthi mbili ya Waafrika wa UKIMWI duniani kote wako Africa Kusini mwa jangwa la Sahara, hii ni idadi kubwa sana.
Ilikuaje UKIMWI ikawa tatizo kubwa hivi Africa ikiwa duniani kote watu wanafanya ngono kwa kiwango sawa tu?!
View attachment 3581538
Kama ni ngono zembe hata wazungu wanafanya sana, tumewaweka hao watu na sikuwahi kusikia "vaa kondomu"!Simple explanation ni population kubwa ya vijana wadogo = ngono zembe nyingi = maambukizi mengi = vifo vingi.
That's it, hakuna kingine bila shaka.
Waliusambazaje? Hapo Uganda na hata Tanzania UKIMWI ulikuwa mwingi sanaNaamini conspiracy kuwa makaburu wakatili waliusambaza makusudi. Ndiyo maana nchi za huko, SA, Lesotho, Swaziland, Namibia na Botswana kuna UKIMWI mwingi sana.
Nafikiri wazungu wanafanya ngono zaidi kuliko Waafrika,Kama ni ngono zembe hata wazungu wanafanya sana, tumewaweka hao watu na sikuwahi kusikia "vaa kondomu"!
Kuna sababu nyingine sio bure, japo haiondoi ukweli kuwa waafrika tunapenda ngono sana.
Kwa sababu UKIMWI ulisambaa Sub Saharan Africa mapema sana 1970-1980 kabla watu wengi hawajaujua. Mpaka inakuja kufahamika ulikuwa tayari umeshaenea sanaKesho ndio siku ya mwisho kwa Zambia kukubali dili la Trump la kutoa madini yao kwa US ili waendelee kupata msaada wa dawa za UKIMWI. Zambia ina waathirika zaidi ya milioni moja.
Theluthi mbili ya Waafrika wa UKIMWI duniani kote wako Africa Kusini mwa jangwa la Sahara, hii ni idadi kubwa sana.
Ilikuaje UKIMWI ikawa tatizo kubwa hivi Africa ikiwa duniani kote watu wanafanya ngono kwa kiwango sawa tu?!
View attachment 3581538
Hapa sasa umeuliza swali lako vizuri, wote tunangonoka, iwe waafrika, wazungu na waasia ndio zaidi. Sasa kwa nini ukimwi uwe zaidi kwa mwafrika na sio wengine?Nafikiri wazungu wanafanya ngono zaidi kuliko Waafrika,
Hata Waarabu nao wanapenda sana kungonoka lakini wote hawa kiwango cha UKIMWI ni kidogo!
Population structure graphs za the so called "advanced" or "developed" nations kwa mfano Japan. Zinaonesha kwamba asilimia kubwa ya wananchi ni 30-80 na vijana 15-30 ni ndogo sana. Kitu kinachopelekea Population growth ratio kushuka. Yaani watu wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa. Mostly ni sababu ya long life expectancy na standards of living.Kama ni ngono zembe hata wazungu wanafanya sana, tumewaweka hao watu na sikuwahi kusikia "vaa kondomu"!
Kuna sababu nyingine sio bure, japo haiondoi ukweli kuwa waafrika tunapenda ngono sana.