Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Hii ndio sabbu kubwa ambayo hawawpendi kuisema. Usiku ni muda wa kulala kwa viumbe wengi akiwemo binadamu, iwapo hatapata usingizi wa kutosha muda mfupi kabla ya safari, lazima kuna sekunde atapata usingizi akiwa njiani. Hivyo ni heri kupki pembeni pindi unpohisi usingizi.Madereva wanasinzia sio poa!zishanikosa mara kadhaa
Na kibaya zaidi ni kuwa, panapogiza, usingizi ni lazima. Madereva karibu wote huzima taa za ndaniKwasababu ni USIKU.
Muda sahihi wa mtu kupumzika sio kufanya kazi
Madereva ubishi Sasa na ujuaji,utasikia Niko fresh nineshakunywa energy yangu wee ukilegea kidogo mmekoswakoswa na kulichumu roliHii ndio sabbu kubwa ambayo hawawpendi kuisema. Usiku ni muda wa kulala kwa viumbe wengi akiwemo binadamu, iwapo hatapata usingizi wa kutosha muda mfupi kabla ya safari, lazima kuna sekunde atapata usingizi akiwa njiani. Hivyo ni heri kupki pembeni pindi unpohisi usingizi.
Mapuuza tuu.....Yeah na wengi hawajijui kama wana shida au wanapuuzia
Wanatembesha kwa mazoea 🤝🤝🤝🤝Na kibaya zaidi ni kuwa, panapogiza, usingizi ni lazima. Madereva karibu wote huzima taa za ndani
Good point POOR VISIBILITYPoor Visibility, Undava na Umwamba Kwa baadhi ya Madere, Full Light bila kujali ilitokea ajali Hata yeye anaweza kuwa mhanga. kutokujua hapa ndio kikomo changu nipunzike, Mwisho Moo Xtra zinawadanganya