Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Anamsaidia Sema hapend show off hata Abdul kiba ni msanii mkubwa sema hapend show off
 
lakn c kipaji anacho... nyota itakuja
Ndio anacho chamsingi akavuliwe nguo Na mganga aogeshwe ili Nyota ionekane maana alikiba kaonesha ushirikiano sema ndo kama vile Na nyimbo washawah kutoa wakishirikishana
 
Seduce me in copy and paste kutoka Philippine. Alichoongeza ni kipande cha charanga tu. Man Walter hafai kuwa producer.
 
Yule Jamaa nae kusafiria nyota ya bro kichwa chake hua kinavimba icho. Ety leo harmonize ni msanii mkubwa kuliko Abdu kiba.
 
Back
Top Bottom