Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Mbna abdu kiba ana kipaji,though sisikilizag kabsa bongo flavor mpk nkute mtu anasikiliza,mm nadhan kn sabab tu nyngn inayomfny kiba asim support dgo
 
Sas ww ndug yali ilikaba mwenyew anahitaji msaada zaid sas nguv ya kusaid mtu kaitoa wap
 
Amsaidiaje wakati mwenyewe ameshindwa kujisaidia saivi anapumuliwa na ommydimpozi
 
Yeye mwenyewe Ally mpaka asaidiwe na Mange na Mondi ndipo Seduce ivume, ndo ataweza kumsaidia mwenzake...
 
Kiba ni msanii mzuri ila sio mfanyabiashara hajitumi na anaudharau muziki. Kwahiyo hawezi kumsaidia mdogo wake kimuziki.
 
Back
Top Bottom