Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Anamsaidia Sema hapend show off hata Abdul kiba ni msanii mkubwa sema hapend show off
Hakuna mwimba mziki wa kidunia asiyependa show off,sema hao wasanii hawajitambui maana hizo show off ni moja wapo ya chachandu za kujipatia umaarufu na kuingiza mtonyo wa maana
 
Back
Top Bottom