Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Mbna abdu kiba ana kipaji,though sisikilizag kabsa bongo flavor mpk nkute mtu anasikiliza,mm nadhan kn sabab tu nyngn inayomfny kiba asim support dgo
 
Kituko ni kituko tu mantinki ya comment zako ni Zero

Mantiki ya comment zako ni 100% kwa nini hujamshauri Ally kumsaidia Abdul?, maana wewe una comment zenye mantiki,
 
hahahahaahahahaha Yeye mwenyewe hawezi kujisaidia anajiita kipusa....atamsaidia mdogo ake pasua kichwa?
 
Sas ww ndug yali ilikaba mwenyew anahitaji msaada zaid sas nguv ya kusaid mtu kaitoa wap
 
Labda anasimamia miradi ya kaka yake.
 
Amsaidiaje wakati mwenyewe ameshindwa kujisaidia saivi anapumuliwa na ommydimpozi
 
Yeye mwenyewe Ally mpaka asaidiwe na Mange na Mondi ndipo Seduce ivume, ndo ataweza kumsaidia mwenzake...
 
Kiba ni msanii mzuri ila sio mfanyabiashara hajitumi na anaudharau muziki. Kwahiyo hawezi kumsaidia mdogo wake kimuziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…