Kwanini amechagua Kigoma?

Kwanini amechagua Kigoma?

Yaani maswali meeengiii kuliko majibu. Kwaio unatuuliza sisi au CCM?

Majibu ninayo ila nilitaka kuchochea fikra zako. Jawabu moja ni kuwa hii ni mbinu ambayo imetumika sana na Serikali katika miaka ya hivi karibuni. Mbinu hii ni kutengeneza tukio ili kupunguza ‘coverage’ ya tukio lingine.

Lissu ana mtindo wa kuongea mambo mazito akiwa maeneo maalumu na nadhani walitegemea angeongea mambo mazito akiwa huko Kigoma. Tukio la leo lilikuwa ni jitihada za kupunguza coverage yake.

Umeridhika sasa?
 
Malofa mnaongezeka
Chukua zawadi yako,kama haikutoshi sema.
Screenshot_2020-09-17-22-19-17-1.jpg
 
Yaami mna mawazo ya kijinga sana ! Kwanini mnapenda kimlinganisha jpm na huyo Tundu wenu! Mtambue kuwa Jpm bado ni Rais , hivyo tusiaminishane eti amapimanana lissu !.
Machadema majinga sana, yamepigwa hela na Mbowe yanachekelea na Kichaa wao Lissu, ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom