Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
- Thread starter
- #21
Yaani maswali meeengiii kuliko majibu. Kwaio unatuuliza sisi au CCM?
Majibu ninayo ila nilitaka kuchochea fikra zako. Jawabu moja ni kuwa hii ni mbinu ambayo imetumika sana na Serikali katika miaka ya hivi karibuni. Mbinu hii ni kutengeneza tukio ili kupunguza ‘coverage’ ya tukio lingine.
Lissu ana mtindo wa kuongea mambo mazito akiwa maeneo maalumu na nadhani walitegemea angeongea mambo mazito akiwa huko Kigoma. Tukio la leo lilikuwa ni jitihada za kupunguza coverage yake.
Umeridhika sasa?