Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Umeona eenhh??!!, Yaani jamaa huyo ni bonge la lofa.Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
hata kama anafuata katiba. mengine yote yako under her commands. is why sio lazima avae gwanda za jeshi.Rais anatakiwa kufuata katiba, si kama anavyotaka tuu. Ila ishu ya mavazi habanwi. Hayo ya kijeshi ni utashi wa mtu
Kivipi??.Kwa kujenga Madaraja?, kujenga Sgr?, kujenga bwawa la umeme la Nyerere?, kununua ndege?, kujenga barabara?,kusambaza maji vijijini?, kujenga flyover??.Jiwe aliharibu akili za watu sana
Huyo kajifia kwa kuitwa na Muumba wetu ili apumzike kwa Kazi nzuri aliyoifanya.Aliyerogwa keshajifia zake
Lkn kumbuka kuna kazi njema nyingi alizozifanya hivyo Mungu atamhesabia haki kwasababu ya hizo.Umeambiwa kuna kupumzika huko! Yaani wewe uwe dikteta hapa duniani halafu utegemee mapumziko kwa Mungu,thubutu.
Hata mshamba kuna maeneo yake anakuwa mjanja, ila kwa lile la kuvaa nguo za jeshi ulikuwa ni bonge la ushamba!!wa kukurupuka!!siku ya kwanza kuvaa kule monduli ilikuwa ni kituko, inawezekanaje AMIRI mkuu wa majeshi alivaa uniform ambao haina hata cheo chochote?!!watu wakasema mataga wakajitahidi kutetea lakini wapi, baadaye ndio wakampa yenye cheo!!kwenye mambo mengi jamaa alikuwa mshambaa sanaaa!!Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
kwa hiyo alikuwa amirimgambo mkuuNyerere alikuwa anavaa uniform za mgambo!
Hii ni Tanzania Mkuu hayo ndo maisha yetu bila kujali nafasi tulizonazo katika jamii huwa tunataniana kwa kila jambo na ndo raha ya maisha, Watu wengine hutushangaa sana, Ukifanya kazi na mkenya ndo utajua kuwa si tunazidi sana yaani tupo kazini lakin jokes kama zote, sometime hadi kwenye hatari bado tunataniana tuHa ha ha,najua pia alikuwa anafanya utani
Sasa utani gani huo kiongoz mkubwa kama yule anaingiza mambo ya KUPANULIWA Tena??!!
Dah!!!,Wewe jamaa, Mbona umekuwa na hasira naye Sana,alikufanyia ubaya gani??.Kazi kubwa aliyoifanya ni ukatili, kudhulumu,kuwabeza watu,kuwasimanga watu na kukashifu watu yaani kwa kifupi alikuwa na roho mbaya motoni ndio yatakuwa makazi ya milele.
Kuna kitu unataka watu wakijadili sema umetumia codeNilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda?
Jamaa hajui maana ya amir jeshi mkuu.Karibu Marais wote ambao ni maamri Jeshi Wakuu kwa nchi zao huvaa kijeshi ikiwapendeza, sio Africa tuu, hata kwingine.
Kwani mgambo siyo jeshi mkuu?Nyerere alikuwa anavaa uniform za mgambo!
Unafahamu hili neni AMIR JESHI?Avae kwani yeye mwanajeshi au unafikiri ana akili ndogo kama watawala wangine wa kiafrica?
Kila mtawala africa lazima avae gwanda au upewe uDr.
Kuwa amir jeshi mkuu siyo uanajeshi?So Magufuli.
Kwa kuteka watu, kuwaua, kuwatia magerezani, kuminya uhuru wa habari, kueneza chuki za kikabila na kikanda, ubaguzi wa kisiasa, roho mbaya, chuki, ukatili dhidi ya binaadam, ujambaz wa pesa za umma, matumizi mabaya ya madaraka, kuwadhalilisha wanamama na kauli za ngono ngono, yani yule jizi anatakiwa atengenezewe moto wa peke yake huko anapoungua na moto sasa hiviKivipi??.Kwa kujenga Madaraja?, kujenga Sgr?, kujenga bwawa la umeme la Nyerere?, kununua ndege?, kujenga barabara?,kusambaza maji vijijini?, kujenga flyover??.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hapo umeongea mkuu,mwinyi,mkapa ,kanali kikwete Hawa wote walikuwa Amiri mkuu kwa kipindi Cha miaka kumi na hawakuwahi kuonekana na combat hata siku moja,hata Mwalimu JKN ukiachilia kipindi kile Cha Vita ya kagera ambapo occasionally alipiga combat hakuwa anaendekeza kuvaa combat.Rais Samia hana mambo ya show off.
Lini uliwahi kumuona mh Kikwete amevaa kombati za jeshi wakati wa kipindi chake cha urais?
Pamoja na kwamba mh Kikwete ni ex-sodier?
naona umerudi rasmi baada ya yule mshamba wa chato kukupiga msumari kwa miaka mitano kwenye jeneza lako!!Umazaliwa mwaka gani?
Hahah! UnachekeshaTena ni ujuha, yeye sio mwanajeshi hata akivaa inakuwa nini!