Kwanini app za mikopo ya mtandaoni zinatumia picha za wanawake warembo kutangaza biashara zao?

Kwanini app za mikopo ya mtandaoni zinatumia picha za wanawake warembo kutangaza biashara zao?

Mloganzila yanatengenezwa hayo siku hizi, usiingie kichwa kichwa utauziwa mbuzi kwenye gunia [emoji28]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nimecheka sanaa!

Imenibidi nifuatilie nione hayo matangazo,hapo wakopaji wakubwa ni sisi wanaume😅
fika hapo ofisi zao utupatie mrejesho kama wafanyakazi wana WOWO kubwa nifike na mimi kuomba mkopo
 
Ukifuatilia sana hawa jamaa na business model yao haiingii akilini kabisa security yao ya kupata pesa yao ni ndogo mno 100% inategemea utu wa mkopeshwaji. Kuna muda nahisi hio business yao ipo kwa ajili ya money laundering na sio huo ukopeshaji.
Usipolipa hawana countermeasures zozote?

wanakuacha tu?
 
Trust me, huwezi kuwa na timamu ukakopa kwenye hayo makampuni. Yaani na utimamu wako usome terms and conditions zao za mkopo zilivyo za hovyo alafu ukubali kutoa taarifa zako na kuchukua mkopo?

Watu wanataka wenyewe kudhalilishwa. Cha ajabu wengi wanajua riba zao ni kubwa lakini bado wanaendelea kukopa kinachonishangaza wanavyolalamika utadhani walilazimishwa kuchukua hiyo mikopo.
Ugumu wa maisha....

Watu wanaenda hadi kwa waganga sembuse kukopa huko?
 
Hawa jamaa ni kausha damu kweli kweli, nilikopa nikarudisha kwa wakati zaidi ya mara tano sikupandishiwa kiwango zaidi ya wao kuwa na riba kubwa...nikaona ngoja na mimi niwatese nikakopa karibu aplication nne na zote sikulipa ....kilichotokea wakaanza kuwasumbua watu wangu wa jirani.. aisee niliwapandia hewani nikawaambia siwalipi kwa demage mlionifanyia ....wanajua kusumbua aiseee nilichofanya nikablock incoming unknown call zote na msg at the end waliacha kunisumbua zaidi ya kutuma msg za kunipa offer kwamba wameniongezea kiwango cha kukopa nilipe deni nipate double hahaha nabaki nacheka tu wanajua me mjinga labda nitalipa🤣🤣🤣
 
Chukua simu yako save namba kwenye Email.... Toa hio email tengeneza email ingine save namba ambazo unajua hazina maana kadhaa hivi ....... Download Apps zao Kopa Ruhusu ufikiaji wao wanavyotaka chukua Mpunga.....
Kama unajiweza rudisha kama mara tatu kuna Apps wanapandisha viwango wapo ambao hawapandish kiwango ata ukirudisha
Ukishaona siku ya kurejesha inakarbia na hutaki kuwalipa nenda kwenye Settings Then Apps chagua izo Apps zao Clear kila kitu pale Ulivo allow .... Ondoa
Watabaki kukupigia simu tu na kutuma sms Block namba ngeni zikipiga kwenye call setting baada ya muda watakukaushia !!
 
Trust me, huwezi kuwa na timamu ukakopa kwenye hayo makampuni. Yaani na utimamu wako usome terms and conditions zao za mkopo zilivyo za hovyo alafu ukubali kutoa taarifa zako na kuchukua mkopo?

Watu wanataka wenyewe kudhalilishwa. Cha ajabu wengi wanajua riba zao ni kubwa lakini bado wanaendelea kukopa kinachonishangaza wanavyolalamika utadhani walilazimishwa kuchukua hiyo mikopo.
Kuna mda watu wanakuwa kwenye tight angle mkuu, ukipiga kwa ndugu nae yupo tight. Kama kuna namna unaweza kupata mkopo wa nafuu namna hii mtu aliyebanwa hajiulizi twice.

Lakini pia hawa jamaa, business model yao ni ya udhalilishaji, unatakiwa kufanya marejesho kesho, wanaanza usumbufu leo.
 
Chukua simu yako save namba kwenye Email.... Toa hio email tengeneza email ingine save namba ambazo unajua hazina maana kadhaa hivi ....... Download Apps zao Kopa Ruhusu ufikiaji wao wanavyotaka chukua Mpunga.....
Kama unajiweza rudisha kama mara tatu kuna Apps wanapandisha viwango wapo ambao hawapandish kiwango ata ukirudisha
Ukishaona siku ya kurejesha inakarbia na hutaki kuwalipa nenda kwenye Settings Then Apps chagua izo Apps zao Clear kila kitu pale Ulivo allow .... Ondoa
Watabaki kukupigia simu tu na kutuma sms Block namba ngeni zikipiga kwenye call setting baada ya muda watakukaushia !!
Upo sahihi kabisa mkuu hii ndio dawa yao.hawa jamaa sina huruma nao kabisa..niliwatumia mpaka email tcra ...hawa kausha damu mtu unalipa zaidi ya mara tano tena kwa wakati lakini hupandishiwi kiwango wakati sera zao zinasema ukilipa kwa wakati kiwango kinapanda.kuna siku walinipigia nikawauliza maswali hadi yule dada akanishauri nisepe tu na hiyo pesa coz ni utapeli wanafanya...haiwezekani ukope 33000 urudishe 63000 .na ukilipa hiyo 63000 bado ukikopa utapewa 33000 huu ni utapelii pia wana hiden fees ambazo hazijulikani zinapatikanaje...
 
Back
Top Bottom