Nimecheka sanaa!Mloganzila yanatengenezwa hayo siku hizi, usiingie kichwa kichwa utauziwa mbuzi kwenye gunia [emoji28]
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Itakua wanatafuta majoblessHayo matako na mkopo vinahusianaje?
Usipolipa hawana countermeasures zozote?Ukifuatilia sana hawa jamaa na business model yao haiingii akilini kabisa security yao ya kupata pesa yao ni ndogo mno 100% inategemea utu wa mkopeshwaji. Kuna muda nahisi hio business yao ipo kwa ajili ya money laundering na sio huo ukopeshaji.
Ugumu wa maisha....Trust me, huwezi kuwa na timamu ukakopa kwenye hayo makampuni. Yaani na utimamu wako usome terms and conditions zao za mkopo zilivyo za hovyo alafu ukubali kutoa taarifa zako na kuchukua mkopo?
Watu wanataka wenyewe kudhalilishwa. Cha ajabu wengi wanajua riba zao ni kubwa lakini bado wanaendelea kukopa kinachonishangaza wanavyolalamika utadhani walilazimishwa kuchukua hiyo mikopo.
Kivipi?B.O.T wako kwenye mchakato wa kuyamaliza haya
Mkuu kwann umetukimbia? Rejesha deni lako sasa tukuongezee mara mbiliNimekula za branch na chakunifanya hawana.
Kuna mda watu wanakuwa kwenye tight angle mkuu, ukipiga kwa ndugu nae yupo tight. Kama kuna namna unaweza kupata mkopo wa nafuu namna hii mtu aliyebanwa hajiulizi twice.Trust me, huwezi kuwa na timamu ukakopa kwenye hayo makampuni. Yaani na utimamu wako usome terms and conditions zao za mkopo zilivyo za hovyo alafu ukubali kutoa taarifa zako na kuchukua mkopo?
Watu wanataka wenyewe kudhalilishwa. Cha ajabu wengi wanajua riba zao ni kubwa lakini bado wanaendelea kukopa kinachonishangaza wanavyolalamika utadhani walilazimishwa kuchukua hiyo mikopo.
Upo sahihi kabisa mkuu hii ndio dawa yao.hawa jamaa sina huruma nao kabisa..niliwatumia mpaka email tcra ...hawa kausha damu mtu unalipa zaidi ya mara tano tena kwa wakati lakini hupandishiwi kiwango wakati sera zao zinasema ukilipa kwa wakati kiwango kinapanda.kuna siku walinipigia nikawauliza maswali hadi yule dada akanishauri nisepe tu na hiyo pesa coz ni utapeli wanafanya...haiwezekani ukope 33000 urudishe 63000 .na ukilipa hiyo 63000 bado ukikopa utapewa 33000 huu ni utapelii pia wana hiden fees ambazo hazijulikani zinapatikanaje...Chukua simu yako save namba kwenye Email.... Toa hio email tengeneza email ingine save namba ambazo unajua hazina maana kadhaa hivi ....... Download Apps zao Kopa Ruhusu ufikiaji wao wanavyotaka chukua Mpunga.....
Kama unajiweza rudisha kama mara tatu kuna Apps wanapandisha viwango wapo ambao hawapandish kiwango ata ukirudisha
Ukishaona siku ya kurejesha inakarbia na hutaki kuwalipa nenda kwenye Settings Then Apps chagua izo Apps zao Clear kila kitu pale Ulivo allow .... Ondoa
Watabaki kukupigia simu tu na kutuma sms Block namba ngeni zikipiga kwenye call setting baada ya muda watakukaushia !!
kwan hawa branch bado wapo niwapasue saizNimekula za branch na chakunifanya hawana.
🤣😁Eh hao wadada hapo ndio wanawashawishi wakope au 😳
ngoja nisiongee sana ntaambiwa vmbaombao tunawaonea geree
Uzuri wa makampuni hayo na wateja wake mnaendana....si unaona? Lazima wawe na riba kubwa maanake wateja wenyewe ndio nyinyi.Nimekula za branch na chakunifanya hawana.
Wanajua ndio vitu mnapenda, mkiona makalio akili inahama unachukua mkopo bila kusoma vigezo na masharti.Hayo matako na mkopo vinahusianaje?
Wapo playstorekwan hawa branch bado wapo niwapasue saiz
sawaWapo playstore