Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Ukanda huo wote kuanzia Temeke,Mbagala na kuendelea huko chini vikindu,kisemvule mpaka huko mkuranga wamejaa waswahili hata Uuzaji wa viwanja ndo ule wa Futi (40ft×50ft) Viwanja vingi vya Mbagala havijapimwa ...wauzaji wanafanya makadirio tuu Unauziwa bila kujali uelekeo ndo maana unakutana na nyumba zimekaa hovyo hovyo

Haya yote yamewafanya watu wengi kuwa discouraged

Lakini ukanda huo ni mzuri sana kwa viwanja vya biashara (viwanja vinavyotazamana na barabara kuu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom