Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Nahc kama sijakuelewa
Anachojaribu kueleza ni kuwa maeneo mengi yenye waislamu wengi hayana maendeleo mfano miji ya zamani kama Pangani,Ujiji,Bagamoyo ,Kilwa nk ilitakiwa yawe majiji tena makubwa kuliko Dar,Arusha au Dodoma,au Mbeya,Kahama ,Mwanza nk

Lakini wakazi wake wengi waislamu sijajua shida nini wanasomeshana Alubadiri ili wasifanye maendeleo binafsi makubwa au ni nini? Sababu wengine unakuta pesa wanazo kibao na wasomi sana tu na pesa wanazo lakini hata nyumba tu wanazoishi haziakisi uwezo wa pesa walizonazo!! Tofauti na watu wa dini zingine kama wahindu ,Wakristo na wabudha au wakinga wasio na dini waabudu mizimu .Nyumba za waislamu wengi za kawaida mno !! Pesa wanapeleka wapi?
 
Siyo tu m ba ga la, hata so we to, south afrika viwanja bei nafuu, havina thamani kama mpumalanga, kenya eneo la mabanda mathale hali ni hiyo hiyo, tAfauti na kisii, likoni au kakamega
Mkuu, ninadhani main factor ni hali ya usalama katika eneo husika pamoja na upatikanaji wa miundombinu bora ya huduma humimu za kijamii ndio maana thamani ya ardhi kwa eneo kama Mbagala si sawa na ile ya Mbezi Beach pamoja na Ununio
 
Siku ya Kwanza kufika mbagala, nilipanda gari pale mbagala kuu nikamkuta Mzee mtu mzima ameshikilia bomba huku anakula fenesi. Na Hapo gari imejaa nyomi Ila haujali Wala nn.

Aisee!! Nilidata.

Nafikiri ukitaka upate picha halisi ya mikoa ya kusini basi Mbagala ni sehemu sahihi.
 
Back
Top Bottom