Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Ukanda huo wote kuanzia Temeke,mbagala na kuendelea huko chini vikindu,kisemvule mpaka huko mkuranga wamejaa waswahili hata Uuzaji wa viwanja ndo ule wa Futi (40ft×50ft) Viwanja vingi vya Mbagala havijapimwa ...wauzaji wanafanya makadirio tuu Unauziwa bila kujali uelekeo ndo maana unakutana na nyumba zimekaa hovyo hovyo

Haya yote yamewafanya watu wengi kuwa discouraged

Lakini ukanda huo ni mzuri sana kwa viwanja vya biashara (viwanja vinavyotazamana na barabara kuu)

Sent using Jamii Forums mobile app
Vikindu na Kisemvule kumekucha sana mkui watu wanajenga nyumba nzuri hasa nyumba mya na viwanja vinapaa
 
Waislamu mwaka huu watakoma.......yameibuka mashambulizi juu yao hata sielewi kisa ni nini?!!! Ni kejeli, ni matusi, ni shari juu yao mwanzo mwisho. Wengine wanaotukana ni wale waliofundishwa na waislamu hao hao namna ya kuvaa, kuongea na hata ustaarabu wa kuchamba. Walitoka kwao bara huko wakilalia ngozi mbichi za ng'ombe huku wengine wakikaa uchi pamoja na dada zao huku wakitumia magunzi ya mahindi kuchambia. Wakafika pwani (kwa waislamu) wakapokelewa na kuelekezwa wajihi wa kibidamu ukoje hadi kuelewa, leo wanawatukana bila sababu.

M/Mungu atie wepesi wapite mtihani huu pia kama aalivyopita mingine!
Kwahio Nyie watu wa pwani ndio mlikua wa kwanza kutengeneza magodoro?
 
Watu wa hali ya chini walikupenda kwakua gharama za ujenzi kulingana na utambarare wake uwepo na maji pia hii ikasababisha kujaa watu wa hali ya chini na kushindwa kupanda hadhi....pia watu waliouza nyumba zao mjini na wakagawana wao wamechangia kuijaza mbagala mtu katoka keko au ilala umwambie akanunue kimara au mbezi mtihani.
 
Hawa waswahili wa jamiiforums ni most arrogant, presumptuous and uppity suckers sijawahi ona full of condescension. Utakuta mtu anaandika haya kama yupo surbubs las vegas, manhattan new york au Massachusetts.
Kumbe kisa anaishi mbezi! au mikoani ndanindani huko vijijini anakula miwa.

Dar nzima mimi sioni tofauti yoyote, ni vumbi tu. na most wanaoandika hizi pumba utakuta wanatokea mikoani, hawatembei or some jobless idiots.

Na bado kuna wale mbuzi waliokunywa maji ya dini, religious fanatics na nonsense za ajabuajabu. wth? hauna kazi?
So damn strange! na bado kuna mjinga anaongelea civilization na hapohapo yeye anadefine na kugeneralize watu kutokana na dini?

What is this? nashangaa sana upeo wa watu wa JF, Na haya ndio madhara ya kujiona smart na una akili sana kuliko uhalisia.
Mara zote watu wenye uwezo mdogo kiakili huwa wanakosa uwezo wa kutambua udhaifu wao wenyewe, dunning kruger effect.

Watu wa jamiiforums sijawahi kukutana nao maishani kwangu, I guess fake IDs zinafichua uhalisia.

Africans are just a bunch of talking monkeys.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Kwa kifupi wilaya yote ya Temeke ardhi yake haina thamani. Uswahili mwingi sana na hali ya kipato pia na hali ya usalama hairidhishi

Huwezi kumshawishi mtu mwenye kipato chake kuishi wilaya ya Temeke na wakati anaona wilaya ya Kinondoni kuna maeneo kama Madale, Goba, Mivumoni, Salasala, Mbweni ni matulivu, yana usalama, yana hadhi na hakuna uswahili
 
Kwa kifupi wilaya yote ya Temeke ardhi yake haina thamani. Uswahili mwingi sana na hali ya kipato pia na hali ya usalama hairidhishi

Huwezi kumshawishi mtu mwenye kipato chake kuishi wilaya ya Temeke na wakati anaona wilaya ya Kinondoni kuna maeneo kama Madale, Goba, Mivumoni, Salasala, Mbweni ni matulivu, yana usalama, yana hadhi na hakuna uswahili
Uswahili maana yake Nini? Mbona waswahili tuna jidharau Sana? Kwa hiyo wewe ni mzungu au muhindi?
 
Uswahili maana yake Nini? Mbona waswahili tuna jidharau Sana? Kwa hiyo wewe ni mzungu au muhindi?
Watanzania na hasa wakazi wa hapa Dar tunapokuwa kwenye mazungumzo yanayohusu makazi tunapotumia neno kwamba eneo fulani lina uswahili tunaelewana nini tunamaanisha, usipende kucomplicate mambo mkuu
 
Back
Top Bottom