Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Mgeni nani na vikunai napajua sana ipo karibu na mbagala kuu tena kuna hoda la kutokea tuangoma ila huko siwezi kuishi
 
Mkuu mimi naongelea kabila langu tu. Hao wengine siwezi kuwajua na sijui utamaduni wao kiundani.
Mtu anayeongelea kitu asichokijua na bila ya uhakika ni mjinga asiyejitambua.
Mimi ni chotara wa makabila yote mawili
Uzaramo upo na undengereko upo.

Nadhani hakuna tofauti ya tamaduni kati ya mzaramo wa Mkuranga, Kisarawe na Kibaha.

Hata Mimi nimetoka Kijiji kimoja na Raisi wa Zanzibar wa Sasa.

Ila Mndengereko na Mzaramo tamaduni Yao ni Moja, Hulka Moja na sifa ni zile zile ila sipendi namna wanavyopenda kuwadunisha.

Tembea Tanzania hakuna sehemu utafika kabila mwenyeji lisizalaulike.
Nenda Tabora mjini mpaka kule Mpandamlowoka Kaliua utagundua wenyeji wanyamwezi wanadhalaurika na Kuonekana wavivu na washirikina.

Nenda Simiyu kule wanyantuzu wanadharaulika na wageni

Nenda mbeya mjini au kule mbalizi Msafwa na Mmalila wanadharaulika mno.

Nini maana yake?
Hawa wakuja huja na mitaji, connection na elimu hivyo huwa kwenye Hali njema ya kiuchumi.

Hayo maeneo nimetembelea na kupokelewa na waukae na wote wapo Vizuri kiuchumi na kudis wenyeji.

Reply yangu Mimi siku zote ni kutabasamu
 
Jobless. Tunawajua nyiny sio wapya humu. Kama mpaka elfu kumi bado kwako ni hela kubwa kias hiko
 
Vipi ule mzigo wako wa MAGARI China ushaupokea hapo bandari?
 
Hii mipasho yote ya nini..wazaramo mnamambo ya kike sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
San wee unaendaje kuishi na wamakonde wamakonde wote wako hapo unategemea nn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
na kweli. Lakini zamani ukinunua wanakimbia, na kweli niliponunua waliniomba niwanune wanipishe. Nikafanya hivyo kwa baadhi. Lakini mh! bado
 
Hatimae mdini kaingilia kati, kama Dini husababisha maendeleo ya kipato vipi akina Mo Dewji, Bhaharesa, GSM na wengine.
Ni shuguri ipi ya kiuchumi utawakuta wa kristu tupu au Waislam watupu. hivi Tanzania kuna miji ya kikikristo.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Kuna machinga wengi.
 
Jobless. Tunawajua nyiny sio wapya humu. Kama mpaka elfu kumi bado kwako ni hela kubwa kias hiko
Mimi siwezi kumtumia pesa mtu nisiyemjua na kureveal identity yangu plus wanaume wazima kutumiana pesa burebure ni upumbavu. Wewe hauni tatizo lako hapo?
 
Ila ukienda huko mikoani kwao, ukisema tu mimi mzaramo, basi Dada zao, chupi haziwakai mwilini.
Nenda mbezi wanaagiziwa kama mali toka china, kwa ajili ya kuja kuuzaa karanga mayai na maji, na baadhi ya wasichana kupelekwa kwenye madanguro na bar.

mbali na utajiri wanaojisifu nao mtandaoni.
 
Hii mipasho yote ya nini..wazaramo mnamambo ya kike sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hivi unajua maana ya argumentative, expletive and rhetorical writing? Mimi ni author hivyo najua pyschology ya msomaji. Ushawahi kuona black americans wanavyoongea? je huwa wanapasha au wanafoka?

Now I see. Kama ungekuwa na haiba ya kiume basi wazi ungegundua na kuchukulia huo muandiko kama mtu anayefoka kwa hasira na kama ungekuwa karibu basi ningekutoa meno.
Ila kwakua una haiba ya kike basi automatically akili yako imekupelekea kufikiria ni "mipasho" neno ambalo kwangu ni uncomfortable kulitumia. hivyo kwa mantiki hiyo wewe ndio mwenye tabia za kike na umezionesha bila kujua.

Wanasema mtu huona kile anachotaka kukiona na ubongo wake hufanya hicho kitu kwa unfathomable level.
Now you suck it up!
 
Mimi siwezi kumtumia pesa mtu nisiyemjua na kureveal identity yangu plus wanaume wazima kutumiana pesa burebure ni upumbavu. Wewe hauni tatizo lako hapo?
Huna hiyo hela weweee... Usitafute Nn. Wala Nn. Hizi nyingine hadithi tu humu jf mkuu usijmwambafai Sana ukajua kweli. Wenye hela wapo ila hawajitangazi, wengi tunawajua humu tunachekaga tu. Wew unayoyajua kausha tu. Mm mwenyew mzaramo wa Mkamba hapa naongea ukweli ninaoujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…