Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

-Squatters
-income levels ie mostly wa kipato cha kati na chini ndio wengi
-Social services (maji umeme barabara)
-Other factors kama civilisation
-Entry point ambapo tunasema tangu awali ilionekana ni makazi ya watu wakawaida.
-Usalama

Etc etc

That’s correct
 
Ardhi ya Dar es Salaam haijapimwa kwa asilimia 90..

Na yapo maeneo ya Mbagala yamepimwa, kama unabisha nilete ushahidi hata wa Google map.

Mshamba hachekwi
 
Ardhi ya Dar es Salaam haijapimwa kwa asilimia 90..

Na yapo maeneo ya Mbagala yamepimwa, kama unabisha nilete ushahidi hata wa Google map.

Mshamba hachekwi

Tuma Town Plan inayoonyesha kwamba mbagala kuna sehemu kabisa imepimwa ,acha hawa wapimaji matapeli wanaowadanganya wananchi ,nataka za projects eirther ardhi au manispaaa au halmashauri.
 
Ila kijichi maeneo ya kingazi ni patamu sijui kwanini sikuwahi kiwanja eneo lile [emoji22] Kuna vimilima fulani na hewa safi ile lami sasa daah!
 
Ukisoma historia wanasema kuchanja chale ilikuwa ni deformation ya nyuso zao kipindi cha biashara ya utumwa ili wasichukuliwe na wareno kwenda ulaya,sasa wareno walikuwa hawataki mtumwa mwenye kasoro kwenye mwili kwahiyo zile chale ndio zikawa manusra yao kutoenda utumwani ureno na brazil nk kwani walikuwa wana tisha na kuonekana sio wazima...[emoji23]
 
Wareno tu ndio waliofanya biashara ya Utumwa?

Vipi Waarabu? hawakuhusika?

Although hiyo simulizi ipo ila Mimi naifananisha kama fasihi simulizi tu maana Slave master waliihitaji nguvu kazi na sio urembo.
 
Tuma Town Plan inayoonyesha kwamba mbagala kuna sehemu kabisa imepimwa ,acha hawa wapimaji matapeli wanaowadanganya wananchi ,nataka za projects eirther ardhi au manispaaa au halmashauri.
Kuna Dar es Salaam master plan au Dar es salaam city master plan.

Lini uliambiwa Mbagala ni Town?

Ilipewa lini hadhi ya Town?

Yapo maeneo yamepimwa najua picha JF hazifunguki ningetuma.

Mbagala Rangi tatu na Zakhiem upande wa biasi kabla hujafika kiburugwa.

Mbagala Sabasaba

Mbagala Kipati

Vikunai

Kumbuka Mshamba hachekwi, urudi mbwinde ulipotokea
 

Tuma Town Plan acha kuzunguka ,ujuaji mwingi kumbe empty set(zero Brain) ,unajua maana ya Town Plan? Mbagala ipo Wilaya ya Temeke ,Jijini Dar-Es-Salaam ,Tuma TP inayoonyesha Mbagala imepimwa!

Yaani wewe unachekesha sana ,zakhem,kipati imepimwa 😀 nye nye nye!! Yaani unachukua watu wawili ambao wamepimisha maeneo yao binafsi halafu unasema imepimwa ,nonsense! Sehemu iliyopimwa ina wiwanja vingi ,mkapa alipimisha mbweni viwanja elfu 20 vinamilikiwa na KMC ,Kikwete alipimisha Kibada viwanja elfu 20 ,kikwete alipimisha mabwepande viwanja elfu 3 ,nitajie mbagala gani iliyopimwa yenye viwanja hata 100 sehemu moja? Ficha Ujinga wako wewe!! Ndiyo Tatizo la kuja Dar kwa mbio za mwenge kutokea Naminywili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…