una haki ya kukataa kwa sababu haujawaza kwa kina,yale maeneo la longido na loliondo,hasa loliondo juu ya ardhi yake,wanapishana watu kutoka mataifa mbalimbali duniani{watalii na watafiti mbalimbali wa kibailojia na ekolojia-mazingira}watu wanaopita pale ni kama wanaishi pale kwa kuwa wakiondoka hawa wanarudi wengine,,,,,then watu wenyewe hao watalii ni matajiri wakubwa sana,wacheza flam maarufu{nazungumzia level ya kina J-ZEE na BILL GATE,,,sawa mzee!!!sasa njoo kwa wenyeji wanaoishi pale{wamasai} wamasai ni matajiri sana kwa tamaduni na mila zao, na hauwezi kukuta mshirikina wa kimasai,,,na hata siku moja hauwezi kuta mmasai ana mambo ya kiswahiliswahili kama ya umbea,kusengenyana,chuki zisizo na sababu n.k lakini ukiacha hilo wamasai ni matajiri sana kwa mifugo...unaweza kukuta mmasai anamiliki makundi kwa mamia ya mifugo kama ng'ombe,mbuzi kondoo n.k......."jifunze kufikiri kwa kina jamaa"