Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

eneo huwa na thamani kutokana na aina ya watu na maisha ya eneo husika , sasa kama eneo limejaa vigagula wanaruka na ungo usiku kucha unategemea kutakuwa na thamani kweli? hauhitaji kuwa msomi kujua haya mambo, waswahili mkishazidi sehemu ujue maendelee ZERO,
 
Hapana mtoni siyo jimbo, do your home work.
Unajua kata ya mtoni Kijichi Ina mitaa minne tu. Mbagala imekamatana sana na mtoni. Misheni mpaka Leo unachagua uiteje. Wengine wanaita mtoni misheni wengine mbagala misheni. Lakn kiuhalisia hakuna eneo linaloitwa MBAGALA MTONI KIJICHI. Halipo unless tuijadili mtoni ni nn?
 
Hizi sehemu ardhi yake haina thamani hata huko mbande na chamazi hapajai kwasababu ni uswahilini hata huko Vikindu patakuja kuwa uswahilini miaka ijayo...

Mtu yupo tayari akanunue kiwanja huko madale mwisho mwisho kiluvya au hata kibaha huko lakini sio hapo Chamazi ambapo ni mjini kabisa, hadi sasa hivi Chamazi milioni 2 unapata kiwanja kikubwa sana mtu anaona bora akanunue kiwanja cha milioni 50 goba kakiwanja kadogo lakini sio kununua temeke

Sijui ninini kifanyike kiondowe huo ushenzi katika hayo maeneo hayo pastaarabike

Sehemu wanapokaa waswahili hapana kwakweli ni full uchawi, kurogana na husda ambazo hata mnyazimungu subhana wataala hapendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo ni Social colour. Hakuna eneo utakalopata chamaz Kwa bei hiyo. Hata iwe chamaz IPi..... Labda nje ya miji kama goba au bunju
 
Hizi sehemu ardhi yake haina thamani hata huko mbande na chamazi hapajai kwasababu ni uswahilini hata huko Vikindu patakuja kuwa uswahilini miaka ijayo...

Mtu yupo tayari akanunue kiwanja huko madale mwisho mwisho kiluvya au hata kibaha huko lakini sio hapo Chamazi ambapo ni mjini kabisa, hadi sasa hivi Chamazi milioni 2 unapata kiwanja kikubwa sana mtu anaona bora akanunue kiwanja cha milioni 50 goba kakiwanja kadogo lakini sio kununua temeke

Sijui ninini kifanyike kiondowe huo ushenzi katika hayo maeneo hayo pastaarabike

Sehemu wanapokaa waswahili hapana kwakweli ni full uchawi, kurogana na husda ambazo hata mnyazimungu subhana wataala hapendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu tatizo sio uchawi wala nini.
Tatizo ni social ckass ya watu wanao ishi maeneo ya Mbagala.
Wengi ni masikini, tena sana,
Maeneo hayajapimwa na social amenities ni za hali ya chini
Huko hawaishi viongozi wa chama wala serikali.
Wafanya biashara wakubwa ndio kabisa huwaoni sehemu hizo kuishi.
Sehemu hizi bado ni muhimu sana ili watu wa kipato na hali ya chini wapate nao sehemu yenye hadhi kuishi.
Huko Kenya, Nairobi, squatter za Kibera ni mahali pabovu mno ambazo huwezi kulinhanisha na sehemu yoyote hapa Dar es salaam.
 
Unajua kata ya mtoni Kijichi Ina mitaa minne tu. Mbagala imekamatana sana na mtoni. Misheni mpaka Leo unachagua uiteje. Wengine wanaita mtoni misheni wengine mbagala misheni. Lakn kiuhalisia hakuna eneo linaloitwa MBAGALA MTONI KIJICHI. Halipo unless tuijadili mtoni ni nn?
Nitajie post cord ya Kijichi na Mbagala?
Nini tofauti yake?

Zamani tukiwa wadogo ilikuwa inaitwa Mtoni Mission na Mtoni Msikitini?

Je pale Msikitini ni Mbagala au Mtoni?
 
sabasaba ndipo mbagala inaanzia
Mwingine atasema Msikitini ndio kunaanzia.

Toka kale mpaka ni bonde au mlima

Ndio ukiingia Mbagala lazima uvuke mto Kizinga na kule mwishoni mwa Mbagala lazima uvuke mto Mzinga.

Huu mto Kizinga ndio mpaka kati ya Mtoni na Mbagala kama ilivyo mpaka mto wa Mzinga unaotenganisha Mbagala na wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.

Lakini hujajibu kuhusu Postcode ya Kijichi na Mbagala?
Je zina tofauti?
 
mbagala 15113
MTONI kijichi 1512...
 
Hii kesi ya mto si kweli. mto mzinga haitewnganishi pwani na dar. kwa BURUDA bado ni mtoni fatilia kuanzia sasa. MM ni mkaz wa kijichi so, naongea ninachoishi nacho.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
ardhi inapata thamani kutokana na wa2 wanaoishi juu yake!!!,mfano watu wanaoishi goba ni watu wanaojiweza kipesa,wasomi na wafanyabiashara wakubwa na wa kati,pia sio watu wakufuatilia maisha ya wenzao pia wengi sio wazawa bali ni wageni watu wanaoishi mbagala wengi ni wazawa,shule ndogo,ni wachuuzi katika biashara,wengi washirikina na wanafuatilia sana maisha ya wenzao,,,,na wengi wmetokea kusini,,,,,,ntwara,rufiji...n'.k...ni sawa na kulinganisha thamani ya ardhi ya mkoa wa kilimanjaro natabora,au arusha na mtwara....watu wanaokaa juu ya ardhi ya arusha na kilimanjaro hauwezi kuwafanisha weledi wao wa ustaarabu na watu wa tabora na ntwara!!!!....
 
wapo wachaga lkn ni very few. Anyway, uchagani kuna uhaba wa ardhi hivyo mchaga akitoka tu, kitu cha kwanza ni kupata ardhi. Ndiyo maana wamjzana kila mahali. Makabila mengine walikuwa na ardhi tele, hivyo mtu alitoka kuja kutafuta hela na kurudi kwao, siyo kufanya makazi
Umesema kweli
 
Hii kesi ya mto si kweli. mto mzinga haitewnganishi pwani na dar. kwa BURUDA bado ni mtoni fatilia kuanzia sasa. MM ni mkaz wa kijichi so, naongea ninachoishi nacho.
Kwa Buruda Kuna mto Mzinga?
Ulikuja Dar kwa Gari la ndizi au mbio za mwenge

Suburb, LocalityPostal codeButiama15129Mgeni nani15129Misheni15129Mtoni kijichi151291 more row
 
Sehemu iliyokaliwa na wamakonde ogopa sanaa
Msasani na Vitongoji vyake ni sehemu wenye Wamakonde wengi zaidi jijini Dar es Salaam na watu kutoka Msumbiji na Malawi mpaka leo hii na kawe.

Mpaka kuharibu asili ya jina kuto kwa Mzee Mussa Hassani kwenda Mchachani ndio Waswahili kuamua kupaita Msasani.
Vipi napo panaogopwa?
 
Back
Top Bottom