Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Hizi sehemu ardhi yake haina thamani hata huko mbande na chamazi hapajai kwasababu ni uswahilini hata huko Vikindu patakuja kuwa uswahilini miaka ijayo...

Mtu yupo tayari akanunue kiwanja huko madale mwisho mwisho kiluvya au hata kibaha huko lakini sio hapo Chamazi ambapo ni mjini kabisa, hadi sasa hivi Chamazi milioni 2 unapata kiwanja kikubwa sana mtu anaona bora akanunue kiwanja cha milioni 50 goba kakiwanja kadogo lakini sio kununua temeke

Sijui ninini kifanyike kiondowe huo ushenzi katika hayo maeneo hayo pastaarabike

Sehemu wanapokaa waswahili hapana kwakweli ni full uchawi, kurogana na husda ambazo hata mnyazimungu subhana wataala hapendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio kwamba Matajiri ni waislam, Hapana, ni kwamba Matajiri wa Tanzania ni watu Wa Asia (na wa Asia ambao ni wazawa ni Waarabu na Wahindi ambao majority ni Waislam).

Hebu nioneshe hao matajiri waislam ambao ni Wazawa/Weusi?
Buti la zungu.
 
Simple , follow your life motives and not society motives
 
Hizi sehemu ardhi yake haina thamani hata huko mbande na chamazi hapajai kwasababu ni uswahilini hata huko Vikindu patakuja kuwa uswahilini miaka ijayo...

Mtu yupo tayari akanunue kiwanja huko madale mwisho mwisho kiluvya au hata kibaha huko lakini sio hapo Chamazi ambapo ni mjini kabisa, hadi sasa hivi Chamazi milioni 2 unapata kiwanja kikubwa sana mtu anaona bora akanunue kiwanja cha milioni 50 goba kakiwanja kadogo lakini sio kununua temeke

Sijui ninini kifanyike kiondowe huo ushenzi katika hayo maeneo hayo pastaarabike

Sehemu wanapokaa waswahili hapana kwakweli ni full uchawi, kurogana na husda ambazo hata mnyazimungu subhana wataala hapendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kata ya Chamazi ilishajaa kitambo[emoji38][emoji38][emoji38]
Uache uongo, Unaweza kunitajia eneo la kata ya chamazi ambayo kiwanja kinauzwa chini ya Milioni 2?

N.B mnauziwa eneo la wilaya ya Mkuranga huko halafu wanaiita Chamazi
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?

[emoji3][emoji23][emoji3]uswahili umezidi
 
nchi hizo zina utajiri mkubwa rasilimali Mafuta ila bado Hizo nchi hazina maendeleo kuzizidi nchi ambazo sio za kiislamu.

nchi zinazoongoza kwa maendeleo na utajiri duniani kwa lugha nyingine nchi zenye uchumi mkubwa zinaitwa G7 countries

hakuna nchi hata moja katika hizo ulizozitaja ambayo imefikia level ya kuingia G7 countries

hizo nchi ukizilinganisha na Tanzania utaona zina maendeleo maana zinatuzidi , ni sawa na Burundi wanaiona Tanzania ina maendeleo. ila kwenye level za kidunia hizo nchi hazina maendeleo ya kuzizidi non muslim countries.

nitajie nchi gani hapo ina maendeleo kuzidi G7 countries?
Hata ukiangalia kwenye security council hakun nchi ya kiislamu
 
Itakuaje na hadhi??Sehemu ambapo mchaga hajatia makazi paogope sana
wapo wachaga lkn ni very few. Anyway, uchagani kuna uhaba wa ardhi hivyo mchaga akitoka tu, kitu cha kwanza ni kupata ardhi. Ndiyo maana wamjzana kila mahali. Makabila mengine walikuwa na ardhi tele, hivyo mtu alitoka kuja kutafuta hela na kurudi kwao, siyo kufanya makazi
 
Waislamu mwaka huu watakoma.......yameibuka mashambulizi juu yao hata sielewi kisa ni nini?!!! Ni kejeli, ni matusi, ni shari juu yao mwanzo mwisho. Wengine wanaotukana ni wale waliofundishwa na waislamu hao hao namna ya kuvaa, kuongea na hata ustaarabu wa kuchamba. Walitoka kwao bara huko wakilalia ngozi mbichi za ng'ombe huku wengine wakikaa uchi pamoja na dada zao huku wakitumia magunzi ya mahindi kuchambia. Wakafika pwani (kwa waislamu) wakapokelewa na kuelekezwa wajihi wa kibinadamu ukoje hadi kuelewa, leo wanawatukana bila sababu.

M/Mungu atie wepesi wapite mtihani huu pia kama walivyopita mingine!
Hii ya kuchamba nadhani imechangia ushoga, maana kiislamu kuchamba inatakiwa ujizamishe dole la kati ili nya yote itoke, sasa imagine kuchamba hivyo kwa mwaka si lazima utataka uchambishwe kwa ukuni?
 
Back
Top Bottom