Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Mwenye PhD ya historia ni Profesa Kabudi siyo Mimi, alikudanganya nani PhD holder ni kujuwa kila kitu?

You can be Professor who knows too much about little thing.
At least hawaandiki au kuongea bila kufanya research/tafiti au kusoma tafiti za wengine au reference.

Wana cognitive reasoning ambayo layman wengi hawana.

Ndio maana nikauliza ulinunua au ulikaa darasani.
 
Basi upo gizani, hujawahi kukaa na Profesa Kabudi wakati anatowa mijicho kama gong'ole halafu anakwambia hii dawa ya Corona kule Mauritius anagawa Rais mwenyewe.
 
Yule alikuwa amelewa mkuu sio akili yake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji124]
 
Yaani katika sehemu Daslama nisiotaka kuishi ni wilaya ya Temeke. niliwahi kwenda Tandika siku moja kuna mtaa hauingiliki kwa gari . Toka siku hio ladha na wilaya ya Temeke sina kabisa, mtu akinimbia tu alikua anaishi au anaishi wilaya ya Temeke basi tayari namshusha class .
 
Nakataa mbona Longido na Monduli wanakaa choka mbaya ? Je, hiyo siyo Arusha ?
una haki ya kukataa kwa sababu haujawaza kwa kina,yale maeneo la longido na loliondo,hasa loliondo juu ya ardhi yake,wanapishana watu kutoka mataifa mbalimbali duniani{watalii na watafiti mbalimbali wa kibailojia na ekolojia-mazingira}watu wanaopita pale ni kama wanaishi pale kwa kuwa wakiondoka hawa wanarudi wengine,,,,,then watu wenyewe hao watalii ni matajiri wakubwa sana,wacheza flam maarufu{nazungumzia level ya kina J-ZEE na BILL GATE,,,sawa mzee!!!sasa njoo kwa wenyeji wanaoishi pale{wamasai} wamasai ni matajiri sana kwa tamaduni na mila zao, na hauwezi kukuta mshirikina wa kimasai,,,na hata siku moja hauwezi kuta mmasai ana mambo ya kiswahiliswahili kama ya umbea,kusengenyana,chuki zisizo na sababu n.k lakini ukiacha hilo wamasai ni matajiri sana kwa mifugo...unaweza kukuta mmasai anamiliki makundi kwa mamia ya mifugo kama ng'ombe,mbuzi kondoo n.k......."jifunze kufikiri kwa kina jamaa"
 
pia nimesahau kidogo,maeneo hayo pia kuna makabila mengine mawili yaitwayo,wasandawe na wahadzabe,hawa jamaa wanaongea lugha ya ajabu ambayo ni utajiri kwao{nadhani unawafaham} wa2 pori chakula chao kikuu ni asali,maziwa na mizizi na starehe yao kubwa BANGI,,nao hawa ni kama wamasai hawana muda wa kufuatilia maisha ya watu,,,,nomajungu
 
Yaani katika sehemu Daslama nisiotaka kuishi ni wilaya ya Temeke. niliwahi kwenda Tandika siku moja kuna mtaa hauingiliki kwa gari . Toka siku hio ladha na wilaya ya Temeke sina kabisa, mtu akinimbia tu alikua anaishi au anaishi wilaya ya Temeke basi tayari namshusha class .
Embu tutajie wilaya moja ambayo mitaa yake yote imepangiliwa na mipango miji na ipo barabara.
 
una haki ya kukataa kwa sababu haujawaza kwa kina,yale maeneo la longido na loliondo,hasa loliondo juu ya ardhi yake,wanapishana watu kutoka mataifa mbalimbali duniani{watalii na watafiti mbalimbali wa kibailojia na ekolojia-mazingira}watu wanaopita pale ni kama wanaishi pale kwa kuwa wakiondoka hawa wanarudi wengine,,,,,then watu wenyewe hao watalii ni matajiri wakubwa sana,wacheza flam maarufu{nazungumzia level ya kina J-ZEE na BILL GATE,,,sawa mzee!!!sasa njoo kwa wenyeji wanaoishi pale{wamasai} wamasai ni matajiri sana kwa tamaduni na mila zao, na hauwezi kukuta mshirikina wa kimasai,,,na hata siku moja hauwezi kuta mmasai ana mambo ya kiswahiliswahili kama ya umbea,kusengenyana,chuki zisizo na sababu n.k lakini ukiacha hilo wamasai ni matajiri sana kwa mifugo...unaweza kukuta mmasai anamiliki makundi kwa mamia ya mifugo kama ng'ombe,mbuzi kondoo n.k......."jifunze kufikiri kwa kina jamaa"
Kwa hiyo wamasai hawana ushirikina?
Ushirikina kwako ni nini?

Kwa Wamasai ni Matajiri?
Wale Masikini kule ni Wasomali?

Wazungu kwa hiyo wanaopita wote kwenda Selous na wenyewe wahesabiwe?

Hizi ni mawazo mgando na akili mgonyoko tu, ndio mtu atawaza hivyo.
 
Yaani katika sehemu Daslama nisiotaka kuishi ni wilaya ya Temeke. niliwahi kwenda Tandika siku moja kuna mtaa hauingiliki kwa gari . Toka siku hio ladha na wilaya ya Temeke sina kabisa, mtu akinimbia tu alikua anaishi au anaishi wilaya ya Temeke basi tayari namshusha class .
Akili za kijinga hizi, wewe utakuwa wa kuja.... Taja wilaya Moja ambayo haina shida kama hiyo nikutumie Sasa hivi milion 100
 
Uwekezaji ni mdogo, serikali imepatenga , kila uwekezaji mkubwa wa serikali unaelekezwa ukanda mwingine wa Dar.

Mfano mradi mkubwa wa uwanja wa ndege ulipopangwa ujengwe Mkuranga uliona ulivyopigwa vita.!!

Jiulize, kuna eneo kubwa la MUHIMBILI kule CHAMAZI lkn serikali ikaliacha na kwenda MLONGANZILA.

HAKUNA hata shule moja ya sekondari yenye viwango inayomilikiwa na serikali. Hakuna hata chuo chochote kinachomilikiwa na serikali.

Sasa njoo upande wa barabara za mitaa ni vumbi tu!! , njoo vituo vya Polisi ni vya kijingajinga tu, misikiti hohehahe, Makanisa kidogooo wanajitahidi. Hospital za serikali ni mpataempatae.
Sababu hamtaki badilika
 
Sababu hamtaki badilika
Issue sio kubadilika maana a common citizen ambaye hayupo sehemu ya Uongozi hana Cha kufanya.

Hatari iliyopo ni kuwepo kwa watu wengi wenye mawazo mgando kama baadhi ya wachangia mada kwenye nafasi za maamuzi.

Hawa ndio wanao rudisha nyuma juhudi na harakati za maendeleo kuelekea kusini mwa Dar es salaam.

Watuelezee exception iliyopo Jimbo la Ukonga ikiwemo maeneo kama Kitunda, Kivule, Chanika na Gongo la Mboto.

Kwa nini haya maeneo hakuna miradi ya kimkakati?
 
Sababu hamtaki badilika
Ukizifuatilia siasa za nchi hii, utaona ndipo eneo lililobadilika kuliko eneo lolote la nchi hii.

Na hayo mambo ya kuwaona WANANCHI na eneo la MBAGALA na njia nzima ya kusini HAWASTAHILI , kupangiwa mji, kujengewa Hosp kubwa, kujengwa vyuo vya kati na juu, vituo bora vya Polisi , ndiyo yaliyosababisha ngome mbaya kuchupikia huko.

Baya zaidi , baada ya kupeleka huduma bora za jamii na uwekezaji mahususi wa serikali wao wamepeleka kambi ya jeshi.
 
Si kuwa wao wameikuta kambi?
 
Ushasema mbagala unatarajia nini? Hivi Mbagala kuna sehemu iliyopimwa hata moja? Ardhi yeyote ambayo haijapimwa na kuwa "Skwata" mara zote haina thamani yeyote.
 
Asilimia 90 ya ardhi ya Dar es salaam haijapimwa.
Hivyo una maanisha nini?
 
Tunazungumzia mbagala mkuu ,Ukikuta sehemu yaani kote skwata hakuwezi kuwa na thamani ,mbagala yote ni SKWATA ,kuanzia Mission,Kizuiani,Zakhem,Kuu,Charambe etc
 
Back
Top Bottom