Kwanini asilimia 98 ya watanzania wanaojua Kingereza wanaongea Broken!! Tumerogwa au

Mshangae mtu akishindwa lugha yake lakini hizi za kujifunza ukubwani. Kuchapia kupo maana siyo lugha yako lakini bwana yule alizidi alafu "eti" alikuwa na PhD.
umemweleza vizuri sana.

Na ashangae pia kwanini bazungu, bahindi na bakongoman (akina patcho mwamba) wengi hawaongei kiswahili kilichonyooka licha kuishi dar miaka chungu mzima?
 
Daah mkuu ulipotea [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
 
Idiot, mjapani, Chinese, Russian, German, Italian, France, Americans, Canadian, Brazilian mbona wote hao huwa hawaongei kingereza fasaha kama original Scotland and Wales. Wewe umezoea kuwaona waswahili tu na broken zao hao mataifa mengine ungekuwa unaelewa accent zao huwa wanaongea broken English lakini ujumbe unafika vizuri sana. Akili uliyo nayo ni slaves mentality. Hata Pope Francis ukimusikiliza anaongea English huwa anachapia Sana lakini ujumbe unafika maana siyo lugha mama.
 
Kingeleza sio lugha yetu hatatukiongea broken... Sawa warusi wanaongea broken Eng. Wachina the same why tunakuwa washamba kiasi hiki...?
 
Hata Waingereza wanaojua Kiswahili karibia 98% yao wanaongea Iliyofunjika.. Na hawajarogwa.
 
Kwani kiswahili tu chenyewe wanaongeaje,
Hayupo ...ayupo
Haleluya ...aleluya
Hakubaliki ...akubaliki
 
Kabla hujawaza kuhusu kingereza, Kiswahili unakijua?
 
Kwa wale waliopikwa seminari na wakakubali kupikwa, wana grammer nzuri.
 
WAMASAI ndio kabila pekee ambalo watu wake wanaojua kimasai wanaweza kutamka maneno ya kiingereza kwa usahihi.

Kuna sababu za kimsingi na utafiti ulifanyika kwa Kenya na Tanzania

Makabila mengine yote kuanzia Nigeria, India, Ghana na sehemu zingine duniani haziwezi kupronounce maneno vizuri.
 
Bado unadai asilimia 98 wanajua kiingereza kama kimepondwa? Ni kwamba hawakijui.
 
 

Attachments

  • VID-20220131-WA0060.mp4
    9.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…