Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shida Gani, Sasa hivi suala la kuongea Kingereza limezidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kusogea, Sasa hivi yani watanzania wengi Wana elimu ya form four au six , Ila wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza wanaongea Broken English japo anaeleweka lakini broken si sana mfano waziri wa elimu Prof. Ndalichako, hata Lissu ana kizungu kizuri lakini anachapia akiongea muda mrefu, mama Samia anaupiga mwingi kwasababu anasoma, katika kusoma ni rahisi kuliko free style.
Wakenya wanafanyaje, na hizi aibu zetu tunaziweka wapi, sababu hata Mwalimu wa lugha Dr. Lwaitama anachapia Kingereza.
Wanaosoma shule za English Medium ni wachache mno 0.0x , wengi ni mashule ya Serikali ambapo hata walimu hawajui Kingereza, Somo la English linafundishwa kwa kiswahili , yaani wanafundishwa cha kujibia mtihani.
Ukienda You tube , Mtanzania akaongea Kingereza atapata comments mbaya sana, Kuna wakati Hadi wanasema Lissu anawahutubia mabeberu siyo watanzania.
Angalau Mkapa alikuwa anakipiga chenyewe
Kiswahili tunaongea broken sasa lugha ya watu unashangaa nini.Kuna shida Gani, Sasa hivi suala la kuongea Kingereza limezidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kusogea, Sasa hivi yani watanzania wengi Wana elimu ya form four au six , Ila wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza wanaongea Broken English japo anaeleweka lakini broken si sana mfano waziri wa elimu Prof. Ndalichako, hata Lissu ana kizungu kizuri lakini anachapia akiongea muda mrefu, mama Samia anaupiga mwingi kwasababu anasoma, katika kusoma ni rahisi kuliko free style.
Wakenya wanafanyaje, na hizi aibu zetu tunaziweka wapi, sababu hata Mwalimu wa lugha Dr. Lwaitama anachapia Kingereza.
Wanaosoma shule za English Medium ni wachache mno 0.0x , wengi ni mashule ya Serikali ambapo hata walimu hawajui Kingereza, Somo la English linafundishwa kwa kiswahili , yaani wanafundishwa cha kujibia mtihani.
Ukienda You tube , Mtanzania akaongea Kingereza atapata comments mbaya sana, Kuna wakati Hadi wanasema Lissu anawahutubia mabeberu siyo watanzania.
Angalau Mkapa alikuwa anakipiga chenyewe
🤣Mbona kibabe hivyoKwa hiyo unataka nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikaondoka kwa ndege[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo letu tunasoma masomo ya Kiingereza kwa Kiswahili. Mwl wa Physics anafafanua kwa Kiswahili. Chuo Ma lecturer wengi Sasa nao wanaandaa PPT kwa Kiingereza lakini wanasoma na kufundisha kwa Kiswahili, hapo Kama nchi hatuwezi kufika. Imagine Profesa Kama mama Yetu wa Kasulu mjini anaongea Kiingereza chenye ugoko vile, vipi ndugu zangu waliopo maji uko na vidiploma vyao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mulamula hata kwa Kiswahili haeleweki. Sijui wanaompa hayo madaraka wanatumia vigezo gani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Midahalo ya Kiingereza hakuna kabisa amashuleni. Sisi wakati tunasome kuanzia shule ya msingi hadi sekondari kulikuwa debate sessions kila wiki, ambapo watu wanajipanga makundi mawili na kuepwa topici ya kubishana kwa kiingereza. Ilikuwa inasaidia sana uwezo wa kujenga hoja kwa kiingereza. lakini sasa watu wengi hupanga hoja zao kwa kiswahili halafu ndipo waziongee kwa kuzitafsiri kiingereza. Inatakiwa hoja ipangwe moja kwa moja kwa kiingereza. Kwa Mfano paper hii ya "Dr." Biteko unaona kuwa mawazo yake yalipangwa kwa kiswahili, na alipoamishia mawazo yake katika kiingereza akaandika broken tupu. Na huyo ni Dokta yaani Ph.D. holder.
View attachment 2049315
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kina ndalichako Na magu wajibu hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wape muongozo bas.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Wachina wenyewe hawajui kingereza mbona maisha yanasonga kama kawaida.Naona at least kuwa na basic knowledge na lugha hii ya kiingereza kwa sababu si lugha mama yetu..
Akitokea mjerumani amekipiga broken hata hachekwi.. na unakuta yupo na mkalimani wake bila wasiwasi na si kwamba hajui kiingereza bali anajivunia lugha yake..
Watanzania tunajua wenyewe tulipoweka akili zetu..
Huwezi mpa muongozo binadamu mbishi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wape muongozo bas.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]English sio tatizo na wala halijawahi kuwa tatizo.
Tanzania tuna matatizo ya kutokuwa na maarifa hasa ya teknolojia,sayansi na hisabati.
Huwezi ongea kingerwza fasaha kama unajifunza darasani tu.
Hata hao english medium akimaluza shhle analuja mtaani tunaongea nae kiswahili muda wote mwishowe anasahau lugga yenyewe
Chochote usichokitumia hupotea katika kumbu kumbu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia mtu anagombana na mzungu kwa mda wa saa moja kwa kiingereza, japo hutasikia neno la kiswahili ila maneno ya kurudiarudia ni mengi. "In actual facts" as you know, . Tujitahidi kupeleka watoto wetu shule maalumu kwa kiingereza.