Wewe ndio kama mimi hata sijielewagi, Nadhani kiumbe kikiwa tu na jinsia ya kike kwangu ntoleeMimi hata sijui nipo upande gani.
Nikimuona demu mwenye chura namtamani, nikimuona mwembamba pia natamani vile vile.
Kwa kifupi sichagui. Kama gari ya Shamba!
Hahahaha, umefuata nn huku
Hahahaha, basi nimekosa mm,natoka mtaa huu
Unaishi mtaa gani nduguNikiri waz hapa dar mm ni mgen cz rasmi nimeanza life hapa mjini 2010.Kipindi hik chote mwenze u sijawahi kushuhudia machangaduoa a.k.a wanaojiuza mabarabarani mbali ya kuwaona kwenye picha za magazeti na mitandao
Dah!!!! umekuwa testa mkuuSikuwa nalijua hili chimbo aise. wanaanzaga saa ngapi biashara? Nataka nikajaribu na wa riverside.
Kuishi naishi nje ya mjini bt town m ni chimbo zangu sana.3 years nimepiga ifm hapo..na 3 zingine nimepiga kaz around area za mambonya ndani hapo posta.So OHIO na viunga vyake nimeshinda sanaaa bt ndio najiulizaga hawa watu wanashinda wapi??
hapna vijana hatutaki mizigo minene asaivi mkuu
kwaiyo hapo demand imechange mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe itakuwa ni chibonge tu.
Vijana sikuhizi mnapenda vyura sana.Wanene ni wengi kwasababu wao ndio wana soko
Wembamba wangekua wengi ila ndio hivyo soko lao hovyo!
Habarini za jioni wakuu?
katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)
Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?
Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?
njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana sikuhizi mnapenda vyura sana.
Lakini kiukweli nyumba ni choo
Ndio wenye sokoHabarini za jioni wakuu?
katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)
Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?
Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?
njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.
Sent using Jamii Forums mobile app
Why so serious?HAPA UMEMTUKANA HADI MAMA YAKO. SIO WOTE WANANENEPA KWA KUPENDA. KUNA WATU WAMETUMIA HADI MADAWA YA KUJIKONDESHA ILA YAMEDUNDA.
IANGALIE VIZURI KAULI YAKO!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise!! Sikuwa nafahamu Kama hapo kuna chimbo.Bei zao zipoje!
5/5
unanitafuta nini dada angu?Acha kujipigia pande we modo mbona vibonge na chura ndo habar ya mjini
Njoo riverside vimodo kibao