Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaojiuza ni wanene?

Unaishi mtaa gani ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuishi naishi nje ya mjini bt town m ni chimbo zangu sana.3 years nimepiga ifm hapo..na 3 zingine nimepiga kaz around area za mambonya ndani hapo posta.So OHIO na viunga vyake nimeshinda sanaaa bt ndio najiulizaga hawa watu wanashinda wapi??
Ahahahahahahahahha..
 
Hamna ww huja fanya utafiti wako kwa umakini mbona vimodo ndo wengi!? [emoji848]
 
Acha kujipigia pande we modo mbona vibonge na chura ndo habar ya mjini
Habarini za jioni wakuu?

katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)

Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?

Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?

njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.

Ndio wenye soko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom