Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Wengine tukiingiaga ofisini kwao
Wanajuaga kabisa watata wamekuja
Maana wakizingua tunawachanaga
Ofisi zote za serikali wengine huduma tunapewaga chapchap.....maana wakileta ujinga kifuatacho wanakijuaa

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifaanya nicheke kwa nguvu..Hivi Ikitokea si unaanza kukemea pepo bila kutarajia?[emoji2]
Halafu dharau kwenye kazi za Watu sasa... Hapana.
Mie si unanijua, ukiniletea dharau sikuachi salama hata kama nina shida🤣🤣🤣
 
Kwanza ukingia ofisi yote iwe ya umma iwe binafsi kama unataka huduma au unakwenda lipia kitu fulani
Lazima ujiamini
Sitakagi uni treat kinyonge

Ova
 
Wengine tukiingiaga ofisini kwao
Wanajuaga kabisa watata wamekuja
Maana wakizingua tunawachanaga
Ofisi zote za serikali wengine huduma tunapewaga chapchap.....maana wakileta ujinga kifuatacho wanakijuaa

Ova
Ewaaa!! Unaletaje dharau katika kutekeleza majukumu yako!!
 
Binti mpumbavu akipata uhakika wa kujiegesha ujawa kiburi cha ujinga
 
Kuna member avatar yake ina picha ya lijamaa lenye kipara, naona muda wote anatype, nimesoma page 1-4 anatype tu.

Mkuu unatype gazeti??
Kuna herufi hazioni kwenye keyboard yake
 
Ufeminist ni aina flani ya ushetani wanapandikiziwa, kupindua mpango alioweka Mungu. Mwanaume siku zote ni mtawala sasa wao na haki sawa ndio inawapa kiburi na dharau na kuona wanaume hatuna lolote.
Hii ingeingia hadi kwenye ndoa,kwa msaada wa tathmilia.
Ukiona mwanamke anashinda anaangalia tathmilia hasa bongo movie akili yake lazima iwe ya kibongo movie.
Lengo kuu la tamthilia ni kubomoa ndoa
 
Ukiona mwanamke anahudumia kwa nidhamu Basi ujue hiyo kazi kaipata kihalali ama la amehangaika Sana kapitia maisha magumu mpk kufikia hapo alipo, kinyume na hapo ni kansa kiukweli ofisi nyingi za umma huwa naomba nikuutane na mwanaume kero yao ni kuomba ngono tu ila kwingine wanaume wako vizuri mno,,wachache mno kukuta ana nyodo
 
Wanawake Wana tabia ya dharau na kujisikia,mi ndiomaana kwenye maisha yangu Ni kamwe siwezi kumsaidia mwanamke, labda mama yangu na ndugu wa karibu haswaa
 
Ni kukosa tu akili mkuu.

Baadhi yao humo maofisini hudhani kila anaeingia humo basi anaujua utaratibu ilhali kila ofisi ina utaratibu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…