Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie si unanijua, ukiniletea dharau sikuachi salama hata kama nina shida🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifaanya nicheke kwa nguvu..Hivi Ikitokea si unaanza kukemea pepo bila kutarajia?[emoji2]
Halafu dharau kwenye kazi za Watu sasa... Hapana.
Ewaaa!! Unaletaje dharau katika kutekeleza majukumu yako!!Wengine tukiingiaga ofisini kwao
Wanajuaga kabisa watata wamekuja
Maana wakizingua tunawachanaga
Ofisi zote za serikali wengine huduma tunapewaga chapchap.....maana wakileta ujinga kifuatacho wanakijuaa
Ova
Kuna herufi hazioni kwenye keyboard yakeKuna member avatar yake ina picha ya lijamaa lenye kipara, naona muda wote anatype, nimesoma page 1-4 anatype tu.
Mkuu unatype gazeti??
AtiUkimtomgoza akatae ndo weee 🙄 Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe😥
Hii ingeingia hadi kwenye ndoa,kwa msaada wa tathmilia.Ufeminist ni aina flani ya ushetani wanapandikiziwa, kupindua mpango alioweka Mungu. Mwanaume siku zote ni mtawala sasa wao na haki sawa ndio inawapa kiburi na dharau na kuona wanaume hatuna lolote.
Haitakiwi hiyo,watu wanalipa kodi na kodi ndy inawafanya wanapata mishahara lazima waheshimu watuEwaaa!! Unaletaje dharau katika kutekeleza majukumu yako!!
Acha ujinga weweUkimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
Wanawake Wana tabia ya dharau na kujisikia,mi ndiomaana kwenye maisha yangu Ni kamwe siwezi kumsaidia mwanamke, labda mama yangu na ndugu wa karibu haswaaMoja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact katika kuhudumia wahitaji.
Mimi binafsi kuna nilikuwa nafuatilia kitambulisho cha uraia NIDA katika moja ya ofisi zao ikatokea kuchaguliwa watu kama wa tano kuingia chumba fulani baada ya kufika mtumishe wa kike alianza kusema kwa ukali "mmefika baada mkae kwenye benchi mnaanza kuganda kama masanamu nyinyi ni watu wa aina gani"
Haikupaswa yeye kutoa kauli kama hiyo tena kwa ukali wakati kuna watu waliokuzidi umri tena wazee bali alipaswa kutuelekeza mahali pa kukaa kwani mabenchi yalitengwa na watu wanakaa sehemu husika kutokana na shida zao .
Kwa kumalizia hali kama hii haipo sehemu moja kwani nimeshuhudia sehemu kibao ikiwemo Rita .Sasa sijui wanawake wanakua na matatizo gani kupelekea hali hiyo mpaka wakati mwingine mtu unajiuliza kama ulishawahi kumkwaza siku fulani au la ..
Mna laanaSasa bora mwanaume, hapo ingekuwa mwanamke kwa mwanamke, ndo angemchambua kama karanga...
Sijui kwanini wanawake hatupendani
Kumbe ni mwanaumeUkimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
No,am a woman 😶Kumbe ni mwanaume
Kwamba kakosea ID?Duh JF ni kiza kinene!
Nilimtongoza mwanaumeAcha ujinga wewe
Ulitaka ukamsage