Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Mimi nikienda ofisi za umma huwa natafuta mdada namzoea au kumtongoza kabisa ili mambo yaende [emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Haha mkuu hata mimi nimegundua hiki kitu

Sehemu nyingi ukiwatimbia na gwanda hasa wakiona mabega yamechafuka hamna kuzi analeta ushanta

Vinginevyo hii nchi ukiwa mnyonge utaonewa sana hata sehemu ambazo mtu unastahili kupata haki yako
Kiufupi hamna kukubali kuwa mnyonge
 
bro!!umeongea point sana aisee!!!.....sasa kachunguze ndoa zao!!!balaa,yaani waume zao wanakaribia uchizi!!
 
Kuna wanaotembea na mabosi wao na wengine wanajua Siri mbaya mbaya za mabosi hasa vimada vyao.
 
bro!!umeongea point sana aisee!!!.....sasa kachunguze ndoa zao!!!balaa,yaani waume zao wanakaribia uchizi!!
Katika ndoa Kumi za watumishi wa kike unaweza Kuta moja ndiyo yenye Amani tena utakuta ni mwalimu wa shule ya msingi katika wilaya Fulani!
 
hujakosea mkuu...

wanaviburi kupindukia..

kuna mmoja juzi alinijibu nyodo pale ofisi za ustawi wa jamii karibu na hsp ya levolosi arsh...nilitamani nimtemee mate

ni vile sikukariri jina lake ningemuanzishia uzi
Mie sipendi niende sehemu halafu nikute mtoa huduma ni mwanamke mwenzangu,mood huwa inakata kabisa,

Ata hospital,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…