Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ujaribu kwangu please ili nipate uzoefu[emoji1751][emoji1751][emoji3]Inashangaza Sanaa,kwani mwanamke hawez kumtongoza mwanaume[emoji15][emoji119]
Huyu ataenda peponi yaani mnyenyekevu na yupo TANESCO huyo pepo yake.Kuna dada mmoja meneja wa TANESCO pale mbezi,, aisee Ni mnyenyekevu haswa, Hadi nilishangaa, maana sikawaida
Na wahasibu ama cashier hawafai kbs umkute kijidada ni kikeshia umefuata cheki utasinyaa miguu.Manesi na wahudumu wa masijala wanafanana kitabia
Kiufupi hamna kukubali kuwa mnyongeHaha mkuu hata mimi nimegundua hiki kitu
Sehemu nyingi ukiwatimbia na gwanda hasa wakiona mabega yamechafuka hamna kuzi analeta ushanta
Vinginevyo hii nchi ukiwa mnyonge utaonewa sana hata sehemu ambazo mtu unastahili kupata haki yako
Tatizo umewahi mno kuoa mkuu😔Naomba ujaribu kwangu please ili nipate uzoefu[emoji1751][emoji1751][emoji3]
Kama ni mwanajeshi nitaogopaInabidi kwa sisi askari tuje na magwanda sasa kwenye hizo ofisi zenu nadhani hii itapunguza
Kwahyo kama ni bwana jela huniogopi sio?Kama ni mwanajeshi nitaogopa
bro!!umeongea point sana aisee!!!.....sasa kachunguze ndoa zao!!!balaa,yaani waume zao wanakaribia uchizi!!Moja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact katika kuhudumia wahitaji.
Mimi binafsi kuna nilikuwa nafuatilia kitambulisho cha uraia NIDA katika moja ya ofisi zao ikatokea kuchaguliwa watu kama wa tano kuingia chumba fulani baada ya kufika mtumishe wa kike alianza kusema kwa ukali "mmefika baada mkae kwenye benchi mnaanza kuganda kama masanamu nyinyi ni watu wa aina gani"
Haikupaswa yeye kutoa kauli kama hiyo tena kwa ukali wakati kuna watu waliokuzidi umri tena wazee bali alipaswa kutuelekeza mahali pa kukaa kwani mabenchi yalitengwa na watu wanakaa sehemu husika kutokana na shida zao .
Kwa kumalizia hali kama hii haipo sehemu moja kwani nimeshuhudia sehemu kibao ikiwemo Rita .Sasa sijui wanawake wanakua na matatizo gani kupelekea hali hiyo mpaka wakati mwingine mtu unajiuliza kama ulishawahi kumkwaza siku fulani au la ..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiombe umkute anakomwe!![emoji23][emoji23][emoji23]
Katika ndoa Kumi za watumishi wa kike unaweza Kuta moja ndiyo yenye Amani tena utakuta ni mwalimu wa shule ya msingi katika wilaya Fulani!bro!!umeongea point sana aisee!!!.....sasa kachunguze ndoa zao!!!balaa,yaani waume zao wanakaribia uchizi!!
Mie sipendi niende sehemu halafu nikute mtoa huduma ni mwanamke mwenzangu,mood huwa inakata kabisa,hujakosea mkuu...
wanaviburi kupindukia..
kuna mmoja juzi alinijibu nyodo pale ofisi za ustawi wa jamii karibu na hsp ya levolosi arsh...nilitamani nimtemee mate
ni vile sikukariri jina lake ningemuanzishia uzi
Kabisa,hamna marupurupuKwahyo kama ni bwana jela huniogopi sio?
Imekuwaje hadi utongoze wanawake wenzako ?Ukimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
Niliamua kuchangamsha jukwaa mkuu,nashukuru lilichangamka kweli🙏Imekuwaje hadi utongoze wanawake wenzako ?
She-MaleWe n me au ke unaniacha njia panda
Siku zote najua wewe n ke