Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hilo haliwezi kuzuia, mbona ninyi mnatongozwa hata mkiwa mshaolewaTatizo umewahi mno kuoa mkuu😔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo haliwezi kuzuia, mbona ninyi mnatongozwa hata mkiwa mshaolewaTatizo umewahi mno kuoa mkuu😔
Kuna Prof. mmoja hivi wa uchumi ni kadinya sana. Aliwahi kumpa mtihani manzi ake yaani kwa kifupi alirudia mtihani mmoja kwa wanafunzi wa Ph.D na masters huo huo.Nilipokua chuo nilikuwa nakataa kabisa kuwafanyia kazi wanawake maana nilikuwa nakumbuka usumbufu wanaotoa maofisini. Ukweli ni kwamba wengi wao siyo competent, wamebebwabebwa tu kufika hapo.
Wanaume tujilaumu wenyewe kwa janga hili.
Majeshi wizara ya ndani posho na mishahara yote sawa za kutosha na magereza wana bonus za kutosha na bado kama una kadiploma kako au ka bachelor labda aquaculture au hata agronomy hata kama hakana kazi huko kana ela yake bado kuna utofauti wa vyeoKabisa,hamna marupurupu
Kweli kabisa mkuu,ishi Kwa kutenda hakiMajeshi wizara ya ndani posho na mishahara yote sawa za kutosha na magereza wana bonus za kutosha na bado kama una kadiploma kako au ka bachelor labda aquaculture au hata agronomy hata kama hakana kazi huko kana ela yake bado kuna utofauti wa vyeo
Kwenye marupurupu hapo sasa kuna utofauti
Au marupurupu ya lawama ya kunyonya watu kama ya hawa polisi unazungumzia ? [emoji16] Baadaye ndio hivyo watu wanawachukia wanawalaani
Kutongozwa tunatongozwa na kukataa tuna😳 au bas😏Hilo haliwezi kuzuia, mbona ninyi mnatongozwa hata mkiwa mshaolewa
true!!Katika ndoa Kumi za watumishi wa kike unaweza Kuta moja ndiyo yenye Amani tena utakuta ni mwalimu wa shule ya msingi katika wilaya Fulani!
Pumbav zake, fursa hiyo anatangazaje sasa.Alinitangaza
Mmh mara hii umekuwa dume [emoji849][emoji849][emoji849][emoji134]Ukimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
Vitawakaa moto[emoji23][emoji23]Usijali cute wangu...naja[emoji12]
Duuuh mamaaaee[emoji849][emoji849][emoji848]Sikumtongoza mbele ya wanangu,nilimtoaga out ya kishost afu nikatema mistari,akashtuka then akanipromise at night ilikuwa jioni muda huo ...lakini Cha ajabu usiku simu ikawa busy nadhan aliniblock[emoji3525],kesho yake akaanza mafumbo ofisini[emoji849][emoji57]
Leo!Hakuna ubaya mkuu, maana Dunia ishapinduka hii.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]nashangaa mshkaji kakomalia hapohapo haendi na wakati[emoji2955]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shika sana ulichonacho mkuu
Daaaaaah ndo leo nimejua wee ni nan, mbna umepotea sanaaa??Haha mkuu hata mimi nimegundua hiki kitu
Sehemu nyingi ukiwatimbia na gwanda hasa wakiona mabega yamechafuka hamna kuzi analeta ushanta
Vinginevyo hii nchi ukiwa mnyonge utaonewa sana hata sehemu ambazo mtu unastahili kupata haki yako
Ilikuwa siku ya kuwachangamsha.🤣watu walishtuka kweli Yaan 🤣🤣🤣🙌Mmh mara hii umekuwa dume [emoji849][emoji849][emoji849][emoji134]