Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Nilipokua chuo nilikuwa nakataa kabisa kuwafanyia kazi wanawake maana nilikuwa nakumbuka usumbufu wanaotoa maofisini. Ukweli ni kwamba wengi wao siyo competent, wamebebwabebwa tu kufika hapo.

Wanaume tujilaumu wenyewe kwa janga hili.
Kuna Prof. mmoja hivi wa uchumi ni kadinya sana. Aliwahi kumpa mtihani manzi ake yaani kwa kifupi alirudia mtihani mmoja kwa wanafunzi wa Ph.D na masters huo huo.

Huyo manzi alileta mtihani ujadiliwe ila cha kushangaza kesho yake huo mtihani ulirudiwa kama ulivyo tofauti yake ni tarehe na programme basi kila kitu kilibaki vile vile.
 
Kabisa,hamna marupurupu
Majeshi wizara ya ndani posho na mishahara yote sawa za kutosha na magereza wana bonus za kutosha na bado kama una kadiploma kako au ka bachelor labda aquaculture au hata agronomy hata kama hakana kazi huko kana ela yake bado kuna utofauti wa vyeo

Kwenye marupurupu hapo sasa kuna utofauti

Au marupurupu ya lawama ya kunyonya watu kama ya hawa polisi unazungumzia ? [emoji16] Baadaye ndio hivyo watu wanawachukia wanawalaani
 
Kweli kabisa mkuu,ishi Kwa kutenda haki
 
Wakati tunaajiriwa tukaambiwa tuingie kwa ajili ya kujaza mikataba basi akaingia baba mmoja sie tukajua ndio HR bwana kumbe OS tukasimama kumsalimia wote sasa hakuitika akajibu "Hivyo viti mnavyoviona ni kwa ajili ya kukaliwa" nimeona hii siredi nimemkumbuka aisee hata wanaume wenye tabia hizi
 
Alinitangaza
Pumbav zake, fursa hiyo anatangazaje sasa.

Kwanza mwanaume kutongozwa ni uzembe wa hali ya juu, inakua ni kama umepigwa ambush kweny nchi yako na majeshi yako yalivyo dhaifu hayajaona hata signs zozote za kuvamiwa.
Inabidi uwahi kabla hujatongozwa
 
Ukimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
Mmh mara hii umekuwa dume [emoji849][emoji849][emoji849][emoji134]
 
Sikumtongoza mbele ya wanangu,nilimtoaga out ya kishost afu nikatema mistari,akashtuka then akanipromise at night ilikuwa jioni muda huo ...lakini Cha ajabu usiku simu ikawa busy nadhan aliniblock[emoji3525],kesho yake akaanza mafumbo ofisini[emoji849][emoji57]
Duuuh mamaaaee[emoji849][emoji849][emoji848]
 
Haha mkuu hata mimi nimegundua hiki kitu

Sehemu nyingi ukiwatimbia na gwanda hasa wakiona mabega yamechafuka hamna kuzi analeta ushanta

Vinginevyo hii nchi ukiwa mnyonge utaonewa sana hata sehemu ambazo mtu unastahili kupata haki yako
Daaaaaah ndo leo nimejua wee ni nan, mbna umepotea sanaaa??
Mic u mnooh.
 
Back
Top Bottom