Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Tatizo linaanzia kwenu mnaopewa huduma, mnaitwa sanamu hafu mnakaa kimya mlitakiwa kureact immediately.
hawaachi nyondo kwa sababu tunawachekea.
Ni nidhamu ya uoga si unajua wabongo tulivyo muda mwengine tunategeana nani alianzishe.

Tulipoingie chumba kingine tunasubiri mtu wa huduma aje kila mtu akawa anamsema yule dada na kutema nyingo na mapovu kisawasawa pale watu walikaa kimya kwa kuogopa kushika makali.
 
hujakosea mkuu...

wanaviburi kupindukia..

kuna mmoja juzi alinijibu nyodo pale ofisi za ustawi wa jamii karibu na hsp ya levolosi arsh...nilitamani nimtemee mate

ni vile sikukariri jina lake ningemuanzishia uzi
 
Mimi huwa nikikutana na Trafiki Mwanamke huwa najua "Mziki" upo kuna siku Reg Number plate ya nyuma imedondoka na mimi sikujua akanisimamisha na kuniandikia. Nikamuuliza mbona unatumia Mamlaka yako vibaya akasema sio mimi ni Sheria ikabidi ayakimbie maswali yangu. Wale Matrafiki wa Kiume wakanishauri nisilipe ile Ticket na nikaapeal.

Nikawaomba Jina lake kamili nikamtumia Mganga wangu pale Hale jamaa wanasema siku hizi kahamishwa.
 
Pale Benjamini Mkapa hospital kuna dada mmoja Accounts Depat. Ms.enge sana ana maneno ya shombo sana kama bado yupo pale sijui na hata kama katolewa pale huko alipo kazi wanayo. Mpuuzi sana.
 
Huwa nikipiga simu huduma kwa wateja akipokea mwanamke nakata napiga tena hadi apokee mwanaume.

Nilicho gundua akipokea wanamke majibu yake asilimia ndogo yakatatua tatizo nilopigia simu(Wanaonekana wengi sio watalamu wa hiyo fani )
Mambo mengi hawayajui na hawana kauli nzuri.

Kwenye NIDA huko ndo usiseme yaani uko foleni unaona mwenzako unavyofokewa kwa jambo la kawaida nawe unasubiria kuangalia zamu yako unafokewa kwa lipi.

Wanakua na viburi mana watu wa juu yao ndo wanaowapa kichwa na ni sisi wanaume.
Jichanganye ujitie una msemea kumbe unaongeza kaa la moto.

Ila nakumbuka kipindi nasoma UDSM kuna Madam mmoja alikuwa msaidizi wa Principle wa CONAS yule madam Mungu Amlaze mahali pema , maana katika hudumiwa na wanawake katika maofisi sijawa hudumia kwa bashasha ns kauli nzuri kama ile tena sio mara moja ni kila nilipowahi fila ofinisi pale na sio mimi tuu ilikuwa kila mtu alohudumiwaga nae hakuacha kusifia.
Wako wachache sana wenye roho za kujua anapaswa kuwaje.

Niliumia siku moja natembea pale naambiwa alifariki R.I.P madam
 
Kuna sekretari mmoja shule fulani alikuwa na dharau sana halafu mtu mzima mfupi mnene mweusi kama kimba halafu ukienda kufanya clearance anakuzungusha mno

Mungu si athumani magufuli alilamba kichwa alikuwa na vyetu feki .Ana tabu mpaka watu wanamchukia anaelewana na master na huyo headmaster Naye aliamishwa kwa uwizi tukiwa tuko form six huyo mama kaondolewa kwa vyetu feki miaka miwili baada ya sisi kumaliza advance

Kinatia hasira kifupi cheusi kimeenda age kina meno ya kuoza ukikosea tu hata salamu umeisha unamsemesha akupatilizi then anakuambia Toka nataka kufunga ofisi watu wametoka mkoani mfano kigoma kufuata vyetu kawaweka wiki eti kisa hawajamsalimia na hataki kingereza mbaya ile shule advance tulikuwa tukienda ofisini lazima utume English la sivyo huduma hupati
 
Huwa nikipiga simu huduma kwa wateja akipokea mwanamke nakata napiga tena hadi apokee mwanaume.

Nilicho gundua akipokea wanamke majibu yake asilimia ndogo yakatatua tatizo nilopigia simu(Wanaonekana wengi sio watalamu wa hiyo fani )
Mambo mengi hawayajui na hawana kauli nzuri.

Kwenye NIDA huko ndo usiseme yaani uko foleni unaona mwenzako unavyofokewa kwa jambo la kawaida nawe unasubiria kuangalia zamu yako unafokewa kwa lipi.

Wanakua na viburi mana watu wa juu yao ndo wanaowapa kichwa na ni sisi wanaume.
Jichanganye ujitie una msemea kumbe unaongeza kaa la moto.

Ila nakumbuka kipindi nasoma UDSM kuna Madam mmoja alikuwa msaidizi wa Principle wa CONAS yule madam Mungu Amlaze mahali pema , maana katika hudumiwa na wanawake katika maofisi sijawa hudumia kwa bashasha ns kauli nzuri kama ile tena sio mara moja ni kila nilipowahi fila ofinisi pale na sio mimi tuu ilikuwa kila mtu alohudumiwaga nae hakuacha kusifia.
Wako wachache sana wenye roho za kujua anapaswa kuwaje.

Niliumia siku moja natembea pale naambiwa alifariki R.I.P madam
Umechukua hatua kali sana hata huduma kwa wateja akipokea mwanamke unakata!!

Kwa upande wa walimu mimi nina rekodi nzuri tokea chekechea mpaka majuu hawajawahi kuniangusha wamekuwa msaada mzuri sana kwangu kiufupi wako poa sana mpaka nikipanga niende kuwasalimia walimu wangu nitaowatafuta ni wakike tu.
 
Hiyo dharau nitakayomfanyia mtu wa hivo hatanisahau! Kuna kimoja huwa nakidharau siku zote
 
Halafu wanawake wengi waajiriwa serikalini wabovu sana lkn wana nyodo
 
Dada mmoja mweusi hivi mnene kiasi yupo pale ccbrt mapokezi yupo stage number one anagawa namba kwa ajili ya wale wanaokwenda clinic ya macho mwenyezi mungu akubariki kama upo humu au popote ulipo Anahuduma nzuri sana hata urudi mara ngapi hachoki kukuskiliza na hana kauli chafu.
 
Kipindi nikiwa mwanafunzi nimewatukana sana ma staff wa college kwa nyodo zao za kipuuzi, wamenishtaki sana kwa dean kumbe hawajui wananipeleka kwa uncle walipokuja kushtuka wakawa wanaishia kuniangalia tu.
 
Back
Top Bottom