Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Moja kwa moja

Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact katika kuhudumia wahitaji.

Mimi binafsi kuna nilikuwa nafuatilia kitambulisho cha uraia NIDA katika moja ya ofisi zao ikatokea kuchaguliwa watu kama wa tano kuingia chumba fulani baada ya kufika mtumishe wa kike alianza kusema kwa ukali "mmefika baada mkae kwenye benchi mnaanza kuganda kama masanamu nyinyi ni watu wa aina gani"

Haikupaswa yeye kutoa kauli kama hiyo tena kwa ukali wakati kuna watu waliokuzidi umri tena wazee bali alipaswa kutuelekeza mahali pa kukaa kwani mabenchi yalitengwa na watu wanakaa sehemu husika kutokana na shida zao .

Kwa kumalizia hali kama hii haipo sehemu moja kwani nimeshuhudia sehemu kibao ikiwemo Rita .Sasa sijui wanawake wanakua na matatizo gani kupelekea hali hiyo mpaka wakati mwingine mtu unajiuliza kama ulishawahi kumkwaza siku fulani au la ..

Ni kwa sababu wengi wao wanatembea na maboss wao, hivyo kijiona kwamba hakuna mwenye mamlaka zaidi ya huyo boss.
 
Kumekucha....... mada za wanawake!

Naweka hesabu ya idadi ya mada zinazohusu wanawake halafu niwaletee mrejesho.
 
Hata kama nina shida gani,Huwa tunamalizana hapohapo Hizo Nyege zao hukohuko!!! Wanaheshimu mabwana zao tuu hao...
 
Majeshi wizara ya ndani posho na mishahara yote sawa za kutosha na magereza wana bonus za kutosha na bado kama una kadiploma kako au ka bachelor labda aquaculture au hata agronomy hata kama hakana kazi huko kana ela yake bado kuna utofauti wa vyeo

Kwenye marupurupu hapo sasa kuna utofauti

Au marupurupu ya lawama ya kunyonya watu kama ya hawa polisi unazungumzia ? [emoji16] Baadaye ndio hivyo watu wanawachukia wanawalaani
Kunguru umepotea sana Jf..
 
Moja kwa moja

Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact katika kuhudumia wahitaji.

Mimi binafsi kuna nilikuwa nafuatilia kitambulisho cha uraia NIDA katika moja ya ofisi zao ikatokea kuchaguliwa watu kama wa tano kuingia chumba fulani baada ya kufika mtumishe wa kike alianza kusema kwa ukali "mmefika baada mkae kwenye benchi mnaanza kuganda kama masanamu nyinyi ni watu wa aina gani"

Haikupaswa yeye kutoa kauli kama hiyo tena kwa ukali wakati kuna watu waliokuzidi umri tena wazee bali alipaswa kutuelekeza mahali pa kukaa kwani mabenchi yalitengwa na watu wanakaa sehemu husika kutokana na shida zao .

Kwa kumalizia hali kama hii haipo sehemu moja kwani nimeshuhudia sehemu kibao ikiwemo Rita .Sasa sijui wanawake wanakua na matatizo gani kupelekea hali hiyo mpaka wakati mwingine mtu unajiuliza kama ulishawahi kumkwaza siku fulani au la ..
Wanawake ni waovu katika hali zote, best version ya mwanamke inakujaga kama MAMA MZAZI ,DADA nk na si vinginevyo
 
Moja kwa moja

Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact katika kuhudumia wahitaji.

Mimi binafsi kuna nilikuwa nafuatilia kitambulisho cha uraia NIDA katika moja ya ofisi zao ikatokea kuchaguliwa watu kama wa tano kuingia chumba fulani baada ya kufika mtumishe wa kike alianza kusema kwa ukali "mmefika baada mkae kwenye benchi mnaanza kuganda kama masanamu nyinyi ni watu wa aina gani"

Haikupaswa yeye kutoa kauli kama hiyo tena kwa ukali wakati kuna watu waliokuzidi umri tena wazee bali alipaswa kutuelekeza mahali pa kukaa kwani mabenchi yalitengwa na watu wanakaa sehemu husika kutokana na shida zao .

Kwa kumalizia hali kama hii haipo sehemu moja kwani nimeshuhudia sehemu kibao ikiwemo Rita .Sasa sijui wanawake wanakua na matatizo gani kupelekea hali hiyo mpaka wakati mwingine mtu unajiuliza kama ulishawahi kumkwaza siku fulani au la ..
Tanesco kipindi tunalipa umeme ofisini cashier madem walikua na nyodo sana chenji harudishi baada ya Technology baadhi walipugwa
 
Mimi kuna mmoja nilimteua awe subordinate wangu ,jambo la kushangaza akaanza kunidharau hata Mimi ,nikampiga chini faster.
 
Unachosema mtoa uzi ni kweli kabisa. Wanawake wengi wana shida kwenye customer care. Wanaleta frustrations zao kwenye maofisi.
 
Ukitaka kuhakikisha zaidi asemacho mtoa mada tembelea masjara ya mkuu wa wilaya Nyamagana- Mwanza,, pale kuna lundo la maneno machafu na ukali usio sababu yupo mama mmja mbaya mkologo umedunda alafu nahisi ana ukimwi yule maninaa zake.
Ukimwi unawaongezeaga hasira sijui kwanini.
 
Unachosema mtoa uzi ni kweli kabisa. Wanawake wengi wana shida kwenye customer care. Wanaleta frustrations zao kwenye maofisi.
Haipendezi hata kidogo inabidi wabadilike.
 
Back
Top Bottom