Kwanini askari magereza wameficha nyuso zao hapa mahakamani?

Kwanini askari magereza wameficha nyuso zao hapa mahakamani?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Naombeni ufafanuzi wana medani
IMG_6790.jpeg
 
Hivi ikitokea hao jamaa wakafanya kosa hapo mahakamani. Je mahakama itaweza watambua?

Sababu hasa za kuficha nyuso zao ni zipi? Je afisa wa jeshi ili awe kanimili ni lazima avae kofia, uniform, mkanda, cheo chake na jina na force namba. Mbona hao hawana baadhi, hapo wanastahili kuitwa maafisa wa jeshi?
 
Sipendi mambo yanayofnywa na Serikali hii hii lakini a soldier to put on a mask it's a normal situation

Mounted_Soldier_System_cropped.jpg
British-Special-Air-Service-SAS.jpg
 
1000177561.jpg
1000177560.jpg
1000177563.jpg


Hizi ni mbinu na kanuni za kijeshi hutumiwa kwingi ulimwenguni.husaidia kuepusha askari walio karibu na mtuhumiwa kuwa walengwa (kisasi,kuzuliwa) au sisitambuliwe ili kutumiwa kama kupewa rushwa na kutoa mbinu za kumtorosha mtuhumiwa.

Wakiingia gerezani wanavua mask.kuficha uso husaidia kuja kufanya upelelezi kwan wao wako jirani na mtuhumiwa,sasa aliweka sura waxi akija kitaaa mtamkataa.
 
Hivi ikitokea hao jamaa wakafanya kosa hapo mahakamani. Je mahakama itaweza watambua?

Sababu hasa za kuficha nyuso zao ni zipi? Je afisa wa jeshi ili awe kanimili ni lazima avae kofia, uniform, mkanda, cheo chake na jina na force namba. Mbona hao hawana baadhi, hapo wanastahili kuitwa maafisa wa jeshi?
Mambo ya uaskari huyajui kaa kimya
 
Back
Top Bottom