Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Huenda hao ni askari toka UVCCM.Naombeni ufafanuzi wana medaniView attachment 3338826
😁😁Unahitaji ujasiri kusimama uso wazi mbele ya "Mwanaume"
wasiojulikana sasa wanajulikanaNaombeni ufafanuzi wana medaniView attachment 3338826
Mambo ya uaskari huyajui kaa kimyaHivi ikitokea hao jamaa wakafanya kosa hapo mahakamani. Je mahakama itaweza watambua?
Sababu hasa za kuficha nyuso zao ni zipi? Je afisa wa jeshi ili awe kanimili ni lazima avae kofia, uniform, mkanda, cheo chake na jina na force namba. Mbona hao hawana baadhi, hapo wanastahili kuitwa maafisa wa jeshi?
Wanafunzi wa TAL Kwa KIPUNJONaombeni ufafanuzi wana medaniView attachment 3338826
Maaskari wenyewe kama akili ni kama zako basi🚮🚮🚮Mambo ya uaskari huyajui kaa kimya