assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.
Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka.
Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi kukamatwa?
Serikali tunaomba ufafanuzi kwamba Maaskofu wao si wa chochezi?
Mfano wa pili ni Askofu Gwajima alieshawishi kuanzisha vikundi vya kikabila vya ulinzi lakini hakukamatwa.
Kwanini?
Siku ya 7/7 kila mtanzania avae shati, gauni,koti, suruali, kofia, viatu, soksi, tai, nyeupe ishara ya kuenzi amani ya taifa, na amani ya kweli na endelevu ktk taifa letu ni kuunga mkono tume huru ya uchaguzi na mgombea huru katika chaguzi zetu”-Bagonza
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi