Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Watu wawili walijipanga kumtukana mtu alikuwa umbali kidogo. Mmija angenyosha mkono na kidole chake kumuelekea huyo mtu na Mwingine angetukana matusi mazito kwa kinywa chake kwa sauti.

Je, kati ya hawa nani ambaye yule mtu angekuja kumkamata kwa kumtukana?
 
Ccm mpya haipendi kuambia hapana. Viongozi Wote wa ccm wamekua waramba nyayo ya Mwenyekiti wao. Ukimkosoa utapata shida kupotezwa au kupewa kesi.

Ukiwa Muislam ndio zaidi ccm inakuchukia. Maaskofu na Mapadre ni ndugu zake . Ukirudi waraka wa Shura ya Maimamu umesheheni ukweli mtupu kuhusu Jiwe.

Ni kweli anawabagua sana Waislam kwenye teuzi na kwenye ajira hawapati. Kuhusu Corona ni ukweli mtupu. Kuhusu Waislam zaidi ya 100 walioko jela bila kesi kundelea ni ukweli mtupu. Wametaja majina na kesi namba zao.

Ni ukweli ambao Ccm hawawezi kuukanusha kwa hoja. Kilichobakia ni kutumia mabavu. Lakini Waraka upo mitaani na kwenye mitandao waislam na watanzania wapendahaki watsutumia uchaguzi ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengine haya tuliyaona kitambooo
zama hizii tangu zinaanza kina Gwajima wanafanya vuruguu kwenye nyumba za ibada lakini serikali iko kiiiiimya. waraka za kila leoo kutoka za viongozi wa makanisa kuikosoa serikali.

tukawa twajisemea suala hili akifanya muislam tuu jela ndo makazi yake na kesi nzito nzitooo zinamfuata nyuma yakeee
Bro kanisa katoliki na viongozi wao husikii aakisema chochote japo mambo mengi yapo hovyo ...ni mtu mmojamoja sana yule wa bukoba labda. Na mwamakula ambae si mkatoliki wamejitahidi lakini hawajawahi kamatwa kwanini ponda akamatwe...hii inaleta chuki
 
Tumia akili yako ndogo kufikiri, waraka umetoka siku ngapi kabla ya Sheikh Ponda kukamatwa? Kwanini viongozi hao wa taasisi hawakutoka hadharani kuupinga waraka huo hadi tu pale alipokamatwa Sheikh Ponda? Kama taasisi kwanini wasingetoa hata barua rasmi hadi tusikie kupitia kwa Inspekta wa Polisi kwamba viongozi wa taasisi wameukana waraka?

Msidhani hatuna akili ya kuona udhalimu huu dhidi yetu Waislam, mambo kama haya ndio hupelekea kuanzishwa kwa vikundi vya kigaidi.
@Nifah mdogo mimi sipendi uingie huku kwenye mambo ya kukuletea stress bure mtoto mzuri, wanaonyanyaswa nchi hii ni wengi sio Waislam tu, hata watumishi wa umma wapo wanaodhulumiwa sana ila tu hawaongei.
 
Bro kanisa katoliki na viongozi wao safari hii rais mkatoliki husikii aakisema chochote japo mambo mengi yapo hovyo ...ni mtu mmojamoja sana yule wa bukoba labda. Na mwamakula ambae si mkatoliki wamejitahidi lakini hawajawahi kamatwa kwanini ponda akamatwe...hii inaleta chuki
Una uhakika yule wa Bukoba ni Mkatoliki?

Mbona mnakurupuka sana Waumin wa Allah S.A.W?
 
Tumia akili yako ndogo kufikiri, waraka umetoka siku ngapi kabla ya Sheikh Ponda kukamatwa?

Kwanini viongozi hao wa taasisi hawakutoka hadharani kuupinga waraka huo hadi tu pale alipokamatwa Sheikh Ponda?
Kama taasisi kwanini wasingetoa hata barua rasmi hadi tusikie kupitia kwa Inspekta wa Polisi kwamba viongozi wa taasisi wameukana waraka?

Msidhani hatuna akili ya kuona udhalimu huu dhidi yetu Waislam, mambo kama haya ndio hupelekea kuanzishwa kwa vikundi vya kigaidi.
Heshima yako mkuu!
Ni muda mrefu sana, nimefurahi kukuona!
Kuhusu hoja yako, wanaodaiwa kuukataa hawajatamka maneno hayo, naamini wamelishwa ili kuhalalisha uhuni unaofanywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini usitumie tu kiswahili labda kidogo utaeleweka kuliko kutumia kibeberu cha Ugoko? Unaokoteza okoteza maneno unaunga ndo maana hata waraka wako unakuwa wa ukilaza.

Very sad indeed is like black live in America no one care, second class citizen
 
Anzisheni hivyo vikundi vyenu vya kigaidi tuwaoneshe kazi ! !!

... Kawaulinze wezenu wa kibiti wako wapi . Toka nyuma ya keyboard anzisha hicho kikundi chenu alfu muone
Ya kibiti unayajua wewe,waulize wanaokaa kibiti wakuambie,
 
Nifah hivi sheikh Ponda ndo Uislam? Kwa nini akiguswa Ponda mnahusisha na Uislam? Hakosei huyo sheikh? Mara ngapi viongozi wa dini zingine wamesigina na dola,lakini hatujasikia tofauti hiyo ikihusishwa na imani zao. Mjitegemee kufikiri,mstafute huruma kila wakati. Sheikh ni mtuhumiwa,anahojiwa;akionekana anazo hatia,sheria itahusika
 
Back
Top Bottom