Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

...
FB_IMG_1594643604839.jpg
FB_IMG_1594646372138.jpg
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka.

Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi kukamatwa?

Serikali tunaomba ufafanuzi kwamba Maaskofu wao si wa chochezi?

Mfano wa pili ni Askofu Gwajima alieshawishi kuanzisha vikundi vya kikabila vya ulinzi lakini hakukamatwa.

Kwanini?

Siku ya 7/7 kila mtanzania avae shati, gauni,koti, suruali, kofia, viatu, soksi, tai, nyeupe ishara ya kuenzi amani ya taifa, na amani ya kweli na endelevu ktk taifa letu ni kuunga mkono tume huru ya uchaguzi na mgombea huru katika chaguzi zetu”-Bagonza

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi
SHEIKH PONDA ANAKAMATWA KWA SABABU ANAONGOZA KUNDI LA WAJINGA WENGI NA WAFUATA MKUMBO BAGONZA HAKAMATWI KWA SABABU ANAONGOZA WATU WENYE UELEWA MPANA KULIKO YEYE HIVYO ANACHOKISEMA ANAONEKANA KAMA TAAHIRA NA KWAMBA HANA IMPACT KATIKA JAMII ILA PONDA AKISEMA KITU KITAKUWA KWAKUWA WALIOCHINI YAKE NI MBURURA
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka.

Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi kukamatwa?

Serikali tunaomba ufafanuzi kwamba Maaskofu wao si wa chochezi?

Mfano wa pili ni Askofu Gwajima alieshawishi kuanzisha vikundi vya kikabila vya ulinzi lakini hakukamatwa.

Kwanini?

Siku ya 7/7 kila mtanzania avae shati, gauni,koti, suruali, kofia, viatu, soksi, tai, nyeupe ishara ya kuenzi amani ya taifa, na amani ya kweli na endelevu ktk taifa letu ni kuunga mkono tume huru ya uchaguzi na mgombea huru katika chaguzi zetu”-Bagonza

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi
Assadsyria3: nimekuwa miongoni mwa wakerekwa sana wa wanaharakati na Viongozi wa Kiislam kuminywa na kuonewa, jambo ambalo lilinisukuma kuiamrisha akili yangu kuudiriki ukweli. Ndipo nikajiridhisha ya kuwa hawaonewi wala hawakandamizwi kama nilivyokuwa nikiaminishwa na au kuamini hapo kabla;

1. Fuatilia historia ya Khalifet zilizopita baada ya kuendesha dola; utagundua walikuwa waadilifu (Abubakary, Umary, othaman na Ally). Ally Radhi za Allah ziwe juu yake alitembelewa na mgeni kisha akauliza unazungumzia nami kama Khalifa au Kama ndugu yako? Yule Bwana akajibu nimekuja kama ndugu Basi Ally allkamwambia taa hii inabidi tuizime kwakua wawekaji wa mafuta ni waislam nawe hujaja kwa ajili ya maswala yanayowahusu.

Umary Radhi za Allah ziwe juu yake alitembelewa na wageni toka Syria wakija kutaka kuongea na Khalifa wakaambiwa yule pale chini ya mti kalala wakasema haiwezikani mbona yupo Kama watu wa kawaida ilihali anaongoza dola kubwa?

NDANI YA VISA HIVI VIWILI IPO IBRA, UONGOZI ULIOPO SI WA WATU WAADILIFU HIVYO MTU MUADILIFU AKITOKEA KWAO HUWA ADUI

NB;
Mayahudi hawakumtesa Nabii ISSA kwa kuwa alieneza neno la Mungu bali quality ya maneno na matendo yake yaliwavuta watu zaidi na wafalme kuhofia kuzipoteza nafasi zao.

2. Uislamu ukifanikiwa kupenya na kutamalaki katika uongozi wa dunia biashara za watu zinazowafanya kuwa ma -trilionea kwa fedha za RIBA, KAMARI NA HAMARY(POMBE) utakoma hivyo unadhani Muislam anaweza kuachiwa kujaribu hata kunyanyua hatua moja?

3. Dunia ikiongozwa na uislam inamaanisha kwamba PORNOGRAPHY INDUSTRY (ambayo inaingiza milion of Dolaz kwa mwaka huko St. Gabriel Valey), SON OF BITCHES (wengi wakiwa mazao ya starehe za wakubwa) na UKAHABA vitakua vimepatiwa suluhu ya kudumu kwakua uislam unaelezea namna gani ya ku handle situation za namna hiyo.

4. Ugonjwa ambao kwa sasa unayatafuna mataifa ya Magharibi and the like wa Ushoga na usagaji vitakoma kwakua adhabu zake hazitoi mwanya wa mwingine kufikiria tu kujaribu wacha kujaribu.

5. Kumbuka kwamba Roman Empire haikusambaratika bali iliamua kujibadili toka kwenye kuongoza dola na kujikita katika kusimamia dola.

Roman Empire wanasimika viongozi wenye kusimamia matakwa yao kwa huck and clucks, na ndio salama ya viongozi hao. Kumbuka kuondoka kwa Joseph Kabila Congo DRC, Genocide ya Rwanda 1994 kuanzia April hadi July, soma kitabu kimoja Kimeandikwa na Mch. Adrew Sebobama (marehemu) kinaitwa HOPE FOR RWANDA nk.

Hivyo Askofu Magonza, Gwajima na the like hata wangeliandika nyaraka milioni impact yake ni ziro dhidi ya kipeperushi kimoja tu cha Sheikh Ponda Issa Ponda.

Robo saa ya Sheikh Abud Rogo masjid Mussa, Dakika 20 za da'wa za Marehemu Sheikh Dilunga ni zaidi ya Ibada ya masaa Sita ya Mtume Mwamposa Pale Tanganyika Packers, ni ni Mwiba kuliko Ibada za Gwajima za wiki nzima.

Hivyo ndugu relax ni muda sasa tuache kufuatilia hitilafu za kufunga au kufungua, katika swala kusema Bismillah dhahir au kwa Siri, swala kufungiwa (kifuani, chini ya kifua au tumboni), urefu wala ufupi wa kanzu, ubidaa wa maulid au hitma na badala yake tujikite katika Mambo ya msingi ya kutegua kitendawili hiki kigumu mbele yetu.

WABILLAH TAWFIQ
 
Ninachokiona ni Historian ya nchi hii ilivyokua tangu Mwanzo.
Nadhani wakoloni waliacha taarifa inayoonyesha kuwa Makundi ya dini Mbili yaani Waroma na Wa waislam wana ushawishi Mkubwa sana kwenye siasa na harakati za kupinga Ukoloni.
Hasa Uislam ulisaidia sana Kupata Uhuru bila kumwaga damu.
Waislam wana Hekima sana wanapoonewa. Hawakurupuki wala kupaniki wanapodhulumiwa mambo ya kidunia.
Waislama wanakua wakorofi tu pale wanapoona Mwenyezi Mungu na Mtume wanatukanwa au wanakashfiwa . Lakini mambo Mengine tuseme ukweli hawanaga tatizo zaidi ya kutumia ushawishi kupinga kama alivyofanya Shekhe Ponds mpaka akapigwa Risasi enzi za Kikwete . Amekua anapinga dhulma na uonevu jambo ambalo kwa kweli ndio msingi wa dini zote achilia mbali dini nyingine kuvamiwa na mifumo ya kibeberu na ubinafsi wa kila mtu ni kuwa adui wa haki badala ya dhulma alimradi anashiba yeye na familia yake.

Lakini pia siungi mkono Askofu Kufanyiwa jambo kinyume na sheria kwa sababu tu kuna Shekhe amefanyiwa kinyume cha sheria.
Jambo la msingi ni kupinga dhulma kwa binadamu yeyote bila kujali dini wala rangi.

Kuna kipindi Makanisa yalitishiwa kufutiwa usajili mpaka Waziri akaingilia kati kuzuia huo mpango.
Kuna rafiki yangu mmoja akashangilia sana akasema kuwa safi sana hao wanatoa waraka kwa sababu wamebanwa walizoea kukwepa kodi na kubebwa na serikali zilizopita lakini sasa wamebanwa ndio maana wanatoa waraka wa kuikosoa serikali, acha wanyooshwe.
Nikamwambia haki haina dini wala rangi wala jinsia ,haki ni haki tu anapaswa atendewe kila binadamu.

Waraka wa Shekhe Ponda umejaa Hekima kubwa lakini ni tishio kwa Watawala na wakuu wa taasisi mablimbali zinazoneemeka na madaraka.

Nakumbuka Mara ya Mwisho kwenye hotuba ya Lisu akiongea na Vyombo vya habari siku Chache kabla ya kupigwa Shaba za kutosha alizungumzia usawa wa madhehebu ya dini na dini zote kwa kusema kuwa dini zote zimenyimwa vibali vya kufanya shughuli zake na nchi za nje isipokuwa kabisa la kirumi na kutoa ushahidi wake kama alivyowaza mwenyewe. Alitaja pia suala la upendeleo wa Kikabila na kikanda kwa kutoa ushahidi wake alikua ameuokoteza mitaani. Alibwabwaja sana Mwanasheria yule Msomi aliyejaa uchochezi moyoni mwake.
Siku chache baadae tulisikia kuwa kuna Mbunge wa Chadema amepigwa risasi. Hakuwa Shekhe wala askofu ,alikua ni binadamu aliyekua tishio kwa baadhi ya watu waliokaa kwenye maslahi manono.

Haki haina dini wala rangi wala kabila wala rangi.

Kama Shekhe Ponda hana haki ya kukamatwa basi hata Askofu Bagonza hana haki ya kukamatwa.
Batili ibaki kuwa batili vinginevyo itakua ni chuki.
 
Sote tungejua ni mwaka wa UCHAGUZI. Tusingefika hapa bali tungeongea lugha moja.

Eh Mungu Tuvushe Salama.
 
Hata ndugu wetu wengi wakristo wanaoba uonevu na wamelizungumza hili. Kama binadamu wenye hisia wameona na nawasifu kwa kujitokeza na kutetea haki bila kujali dini. Asanteni na tushikamane kudai haki ya kila mtu katika taifa hili. Asanteni.
 
Shehe hata akisema CCM OYEEE! atakamatwa ataambiwa mchochezi kasema SISEMI OYEE!
 
huyu anapgiwa magoti kanisani na kuwasamehe waumini dhambi ila kwa waislam hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwasamehe watu dhambi isipokuwa MUNGU mmoja
Uzushi. Hujui ulichoandika Binti.
 
Hoja yako ni dhaifu isiyo na mashiko. Sheikh Ponda amekamatwa kwa sababu ya ugomvi wake binafsi na wake zake nyumbani hadi tuache kuhusisha kukamatwa kwake na Uislam?

Waraka umetoka kwa Shura ya Maimamu Tanzania, sio Uislam huo?
Nifah habari yako, long time sijakusikia, karibu tena! Yanga tunalia na kipigo cha juzi tu
 
Anzisheni basi hivyo vikundi vya kigaid ndani ya tanzania hii chini ya magufuli tuwaone mnavyo sambaratishwa ndani ya sekunde.
Walianzishaga kule Ukerewe, sijui waliishia wapi[emoji1][emoji1]
 
Nifah habari yako, long time sijakusikia, karibu tena! Yanga tunalia na kipigo cha juzi tu

Hello ram
Walau usiku wa leo ndio nimepata usingizi, ni zaidi ya aibu! Tumedhalilika haswa! Pole
 
Ina maana Madrasa hatusomi siyo ? Sasa usomi gani ambao unashindwa kumfundisha mtu hata namna ya kuhakiki maandiko yake na kujua ukweli wake au usomi gani ambao hata haumfundishi namna ya kuondoa najisi katika nguo yake ? Wakristo huwa mna vituko sana, pale mnapo dai usomi kumbe ni mahaba na upofu tu.

Ahsante.

"400kV Tapped"
Endelea kuamini primitive mythology za mudy
 
Tanzania haina UDINI, Udini mnauleta ninyi

Kila Awamu ninyi mnalalamika tu kuonewa.

Rais Magufuli ana mambo mengi ya kimaendeleo ya kushughulikia sio ninyi msioridhika

Hata Awamu zilizoongozwa na Rais Muislam pia mlilia lia tu mnataka kubebwa.

Chapeni kazi acheni madeko.

Palipo na HAKI na USAWA basi AMANI hutamalaki na Taifa hustawi, ila vikikosekana hivyo basi si mimi wewe ndugu wala jamaa zako wataishi kwa amani!!!

Hvyo wajibu wetu sisi wananchi ni kupaza sauti pale haki na usawa vinapominywa kwakuwa gharama ya kuitafuta amani ni kubwa sana..!!!
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka.

Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi kukamatwa?

Serikali tunaomba ufafanuzi kwamba Maaskofu wao si wa chochezi?

Mfano wa pili ni Askofu Gwajima alieshawishi kuanzisha vikundi vya kikabila vya ulinzi lakini hakukamatwa.

Kwanini?

Siku ya 7/7 kila mtanzania avae shati, gauni,koti, suruali, kofia, viatu, soksi, tai, nyeupe ishara ya kuenzi amani ya taifa, na amani ya kweli na endelevu ktk taifa letu ni kuunga mkono tume huru ya uchaguzi na mgombea huru katika chaguzi zetu”-Bagonza

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi
Uko sahihi ndugu yangu...jitaidi kupiga kura na kusikiliza watu wanaosema ukweli kama ponda...
Tambua kuna kusema kwelii ukimaanisha kwa imani dhabiti pia kuna kusema ukweli ambao ndani yake sio kweli iliyo dhabiti kwa imani ya mtu fulani...

Mm sitetei dini....ila naomba sana jaribu kusikiliza watu kwa umakini sanaaa...na kura yako mpatie anayestaili
 
Back
Top Bottom