Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.
Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka.
Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi kukamatwa?
Serikali tunaomba ufafanuzi kwamba Maaskofu wao si wa chochezi?
Mfano wa pili ni Askofu Gwajima alieshawishi kuanzisha vikundi vya kikabila vya ulinzi lakini hakukamatwa.
Kwanini?
Siku ya 7/7 kila mtanzania avae shati, gauni,koti, suruali, kofia, viatu, soksi, tai, nyeupe ishara ya kuenzi amani ya taifa, na amani ya kweli na endelevu ktk taifa letu ni kuunga mkono tume huru ya uchaguzi na mgombea huru katika chaguzi zetu”-Bagonza
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi
Assadsyria3: nimekuwa miongoni mwa wakerekwa sana wa wanaharakati na Viongozi wa Kiislam kuminywa na kuonewa, jambo ambalo lilinisukuma kuiamrisha akili yangu kuudiriki ukweli. Ndipo nikajiridhisha ya kuwa hawaonewi wala hawakandamizwi kama nilivyokuwa nikiaminishwa na au kuamini hapo kabla;
1. Fuatilia historia ya Khalifet zilizopita baada ya kuendesha dola; utagundua walikuwa waadilifu (Abubakary, Umary, othaman na Ally). Ally Radhi za Allah ziwe juu yake alitembelewa na mgeni kisha akauliza unazungumzia nami kama Khalifa au Kama ndugu yako? Yule Bwana akajibu nimekuja kama ndugu Basi Ally allkamwambia taa hii inabidi tuizime kwakua wawekaji wa mafuta ni waislam nawe hujaja kwa ajili ya maswala yanayowahusu.
Umary Radhi za Allah ziwe juu yake alitembelewa na wageni toka Syria wakija kutaka kuongea na Khalifa wakaambiwa yule pale chini ya mti kalala wakasema haiwezikani mbona yupo Kama watu wa kawaida ilihali anaongoza dola kubwa?
NDANI YA VISA HIVI VIWILI IPO IBRA, UONGOZI ULIOPO SI WA WATU WAADILIFU HIVYO MTU MUADILIFU AKITOKEA KWAO HUWA ADUI
NB;
Mayahudi hawakumtesa Nabii ISSA kwa kuwa alieneza neno la Mungu bali quality ya maneno na matendo yake yaliwavuta watu zaidi na wafalme kuhofia kuzipoteza nafasi zao.
2. Uislamu ukifanikiwa kupenya na kutamalaki katika uongozi wa dunia biashara za watu zinazowafanya kuwa ma -trilionea kwa fedha za RIBA, KAMARI NA HAMARY(POMBE) utakoma hivyo unadhani Muislam anaweza kuachiwa kujaribu hata kunyanyua hatua moja?
3. Dunia ikiongozwa na uislam inamaanisha kwamba PORNOGRAPHY INDUSTRY (ambayo inaingiza milion of Dolaz kwa mwaka huko St. Gabriel Valey), SON OF BITCHES (wengi wakiwa mazao ya starehe za wakubwa) na UKAHABA vitakua vimepatiwa suluhu ya kudumu kwakua uislam unaelezea namna gani ya ku handle situation za namna hiyo.
4. Ugonjwa ambao kwa sasa unayatafuna mataifa ya Magharibi and the like wa Ushoga na usagaji vitakoma kwakua adhabu zake hazitoi mwanya wa mwingine kufikiria tu kujaribu wacha kujaribu.
5. Kumbuka kwamba Roman Empire haikusambaratika bali iliamua kujibadili toka kwenye kuongoza dola na kujikita katika kusimamia dola.
Roman Empire wanasimika viongozi wenye kusimamia matakwa yao kwa huck and clucks, na ndio salama ya viongozi hao. Kumbuka kuondoka kwa Joseph Kabila Congo DRC, Genocide ya Rwanda 1994 kuanzia April hadi July, soma kitabu kimoja Kimeandikwa na Mch. Adrew Sebobama (marehemu) kinaitwa HOPE FOR RWANDA nk.
Hivyo Askofu Magonza, Gwajima na the like hata wangeliandika nyaraka milioni impact yake ni ziro dhidi ya kipeperushi kimoja tu cha Sheikh Ponda Issa Ponda.
Robo saa ya Sheikh Abud Rogo masjid Mussa, Dakika 20 za da'wa za Marehemu Sheikh Dilunga ni zaidi ya Ibada ya masaa Sita ya Mtume Mwamposa Pale Tanganyika Packers, ni ni Mwiba kuliko Ibada za Gwajima za wiki nzima.
Hivyo ndugu relax ni muda sasa tuache kufuatilia hitilafu za kufunga au kufungua, katika swala kusema Bismillah dhahir au kwa Siri, swala kufungiwa (kifuani, chini ya kifua au tumboni), urefu wala ufupi wa kanzu, ubidaa wa maulid au hitma na badala yake tujikite katika Mambo ya msingi ya kutegua kitendawili hiki kigumu mbele yetu.
WABILLAH TAWFIQ