Sema umekatwa mkia mkuu tunaokujua ww ni ccmKwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Sema umekatwa mkia mkuu tunaokujua ww ni ccmKwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Hili swali akiuliza aliye tofauti na wewe nitalijibu.Na Kikwete alivyokuwa Rais ilikuaje?
Ndugu Unayejiita Assad wa Syria, mimi ni muislamu mwenzako, kwanza ni kukosoe njee ya mada, utaniwia Radhi, unatumia jina la Asaad huyu aliyekuwa mtawala wa Syria, kweli kama una uchungu na binadamu wenzako au watu wa dini yako, au hupendi dhuluma na upendeleo, Ndugu yangu , hata siku moja usingelitumia jina la huyu Dhalim aliye fariki, Assad Aliupiga Mji Mzima mabomu na Missiles kwa sababu kulikuwa na upinzani na pia mji huo ulikuwa na wenyeji wengi wa madhehebu tofauti na yake...
Sababu?Hili swali akiuliza aliye tofauti na wewe nitalijibu.
Soma Waraka wa Shura ya Maimamu utapata JibuKwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Kulalamika tu lakini ndio hao wako mstari wa mbele kuunga mkono juhudi. Unamkuta Diamond muislamu anaimba Jiwe baba lao kwa kuwaweka ndani mashehe wa uamsho na waislamu wanakatika kwa raga zao.Waislam wa siku hizi wengi wao ni waoga sana, hivyo mtaendelea kuteswa hadi pale akili itakapowakaa sawa.
Tanzania haina UDINI, Udini mnauleta ninyiRais Magufuli tunakuasa tafadhali, hili Taifa ni letu sote ni wajibu wako kulinda amani uliyoikuta, upendo na mshikamano baina yetu
Ni jambo baya sana sana kuleta manung'uniko kwa upande mmoja kutokana na upande mwingne kupewa favours...
Shukran, May Allah Bless you with good health and wisdomPoint taken
Nani asiyekujua wewe acha uchonganishi kamkamate wewe acha kiherehere eti unataka ufafanuzi kama nani waache wahusika wafanye kazi zaoKwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Tupe uchochezi wa ponda mkuu japo kwa ka ushahidiUchochezi wa ponda na Bagonza ni tofauti, jaribu kufatilia maandiko yao utaona ukweli
Japo mimi sio muislam, ila mkuu umeongea point, wenzako wote wangekua na busara kama wewe hakika mambo yenu mengi yangekua tofauti kabisa, tatizo kubwa wengi wameshajenga dhana ya kuonewa/kukandamizwa vichwani mwao ndio maana badala ya kutafuta kosa lilipo na kung'amua solution yake wengi wana panic na kudhani kutumia mabavu ndio njia sahihi, while its not.Ndugu Unayejiita Assad wa Syria, mimi ni muislamu mwenzako, kwanza ni kukosoe njee ya mada, utaniwia Radhi, unatumia jina la Asaad huyu aliyekuwa mtawala wa Syria, kweli kama una uchungu na binadamu wenzako au watu wa dini yako, au hupendi dhuluma na upendeleo, Ndugu yangu , hata siku moja usingelitumia jina la huyu Dhalim aliye fariki, Assad Aliupiga Mji Mzima mabomu na Missiles kwa sababu kulikuwa na upinzani na pia mji huo ulikuwa na wenyeji wengi wa madhehebu tofauti na yake....
Askofu Dr. Benson Bagonza ni Msomi anayetoa hoja zake kisomi WAKATI Sheikh Ponda anatoa hoja nzuri lakini yenye msukumo wa Kidini,Chuki na Jazba ndani yake dhidi ya Ukristo ndio maana anattack serikali na Wakristo
Askofu Dr. Benson Bagonza hana any element za Ukorofi na fujo WAKATI Sheikh Issa Ponda Issa anaweza kuwa GAIDI muda wowote kutokana na Itikadi ndani ya Dini yake.
Wabillah Tawfiq,
Kwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi
Shee Ponda kakamatwa sababu anachochea ugaidi wakati Askofu Bagonza kaachwa sababu anachochea amaniKwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?