Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi



Mama yangu FaizaFoxy unasemaje kuhusu hili? Siku zote umekuwa ukipambana sana juu ya Uislam humu. Mbona katika hili husemi chochote?
Au mahaba yako juu ya serikali dhalimu ya CCM yameshinda yale ya dini yako?
Au sababu Sheikh Ponda amesema msiyopenda kuyasikia? (Tume huru ya uchaguzi)
Tafadhali sema chochote...
 
Bora maneno ya Bagonza. Gwajima went further alitoa hadi clips za lugha ya kisukuma kuhamasisha wasukuma kuunda vikundi vya kumpigania Magu na akatoa maneno kabisa kura sipigwe kikabila akaishia kupigiwa simu na polisi tu kwa mujibu wa maneno ya polisi...
Prof Assad kaondolewa na katiba kwahyo ulitaka katiba ivunjwe kisa ye ni muisilamu??Gwajima aliitwa kuhojiwa polisi kama alivyoitwa ponda mbona hamkusema? Kwa hali hii ya kuanza kujibagua kisa dini msitegemee kuona hali iko sawa hata siku moja !ina mana kwenye hii nchi ukiwa muisilamu usiguswe ?
 
Prof Assad kaondolewa na katiba kwahyo ulitaka katiba ivunjwe kisa ye ni muisilamu??Gwajima aliitwa kuhojiwa polisi kama alivyoitwa ponda mbona hamkusema ? Kwa hali hii ya kuanza kujibagua kisa dini msitegemee kuona hali iko sawa hata siku moja !ina mana kwenye hii nchi ukiwa muisilamu usiguswe ?
Gwajima aliitwa kuhojiwa na polisi lini kwa video zake na clips zake za Ukabila?

Kwa akili zako unadhani Prof Assad katolewa kwa mujibu wa Katiba?? Polee yako kama haujajitoa ufahamu
 
Gwajima aliitwa kuhojiwa na polisi lini kwa video zake na clips zake za u Kabila?

Kwa akili zako unadhani Prof Assad katolewa kwa mujibu wa Katiba? Polee yako kama haujajitoa ufahamu
Sitaki kuamin kama nchi hii kuna watu bado wanaamin Assad kaondolewa kisa dini !!umri wa kustafu umefika asistaafu kisa muislamu
 
Jamaa umeuliza swali lenye afya kwa mustakbali wa taifa. hii nchi ipo chini ya mkono wa katoliki na Bagonza ni kiongozi wa katoliki.full stop.
 
Chuki ni asili ya imani yako unabisha?
Ndugu hilo ndilo linalotokea viongozi wasio na nia nzuri na wananchi wao, uchaguzi ukikaribia , hutengeneza fitina ya kuwagawanya wananchi. Nasi tulivyo wapumbavu tunaingia waziwazima kwenye mtego wao.

Hebu angalia majibu yako kwa mwenzako. Mimi ni muislamu, sina tatizo na dini yoyote nyingine ma maisha sitakubali nichonganishwe na rafiki zangu tokea utotoni na mtu nisimjua alipotoka, dini ni imani binafsi, na ni uamuzi wako kuamini upendapo, so why should it be a problem.

Lissu alipigwa risasi, tuko wengi tuliokuwa wanachama wa ccm, tulikasirishwa na kile kitendo cha kikatili, tulimchangia Lissu mara zote michango ilipoitishwa.

Kuwa dini au vyama tofauti havimaanishi uadui. Penye kuvunjwa haki tupinge kwa pamoja, na penye haki tusifie n kuinga mkono.

Tujikinge kutafarika kwa udini tutajuta sote
 
Hii ni desturi yenu, kuhisi huwa mnaonewa sasa huwa najiuliza ni wapi au kitu gani kuna kipengele cha (awe Mkristo) sipaoni pengine wewe unijuze leo!


Sir mimi sio rafiki yako na sitakuwa as long as kuna aya ipo ndani ya Koran inakwambia usiwafanye Wakristo na Wayahudi marafiki!
.
umefunzwa kumuona Mkristo ni kafiri na mambo mabaya kadha wa kadha kwa jina la mfumo Kristo!..
Sitaweza kuendelea kujadili hii mada na wewe tena. There is no point, mindset yako iko soo negative na absorbed by Hate.

By the Hakuna aya katika Quraan inayosema hate christians na umemsikia mtu yeyote anasema hivyo, mwambie akuonyeshe.

Mtume Muhamad (SAW), alikuwa na marafiki wa kiyahudi.

Unajaribu kuzungumzia usiyoyajua.

Good night and stay safe
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka...
NAZANI HUJAELEWA MKUU, KILICHOMFIKISHA SHEHE PONDA MIKONONI MWA DOLA NI ZILE TAKWIMU ZAKE AMBAZO PENGINE ZINAONEKANA KAMA ZA UCHONGANISHI NA SIO KUELEZEA MWENENDO WA MASUALA YA SIASA NA DEMOKRASIA
 
Hoja yako ni dhaifu isiyo na mashiko. Sheikh Ponda amekamatwa kwa sababu ya ugomvi wake binafsi na wake zake nyumbani hadi tuache kuhusisha kukamatwa kwake na Uislam?

Waraka umetoka kwa Shura ya Maimamu Tanzania, sio Uislam huo?
Ushawahi kuuliza Uislamu unasema nini au unataka nini juu ya masuala ya Demokrasia kwa ujumla au "Uana harakati" ?

Kwani Uislamu unaujuaje bibie ? Kwa yale wanayo yafanya Waislamu au kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu ?

Ahsante.

"400kV Tapped"
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka.

Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi kukamatwa?

Serikali tunaomba ufafanuzi kwamba Maaskofu wao si wa chochezi?

Mfano wa pili ni Askofu Gwajima alieshawishi kuanzisha vikundi vya kikabila vya ulinzi lakini hakukamatwa.

Kwanini?

Siku ya 7/7 kila mtanzania avae shati, gauni,koti, suruali, kofia, viatu, soksi, tai, nyeupe ishara ya kuenzi amani ya taifa, na amani ya kweli na endelevu ktk taifa letu ni kuunga mkono tume huru ya uchaguzi na mgombea huru katika chaguzi zetu”-Bagonza

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi
Waislamu wenzangu huwa mnakosea sana kujifafanisha na wasio kuwa Waislamu. Hili halipo katika Dini yetu, ndiyo maana huwa mnaona mnadhulumiwa na kuhisi mnanyimwa haki wakati kiuhalisia siyo haki zenu.

Ushauri wangu, kwenu ndugu zangu, tunatakiwa tuusome Uislamu wetu tena tuusome hasa, na kuyafanyia kazi yale yaliyo fundishwa na Uislamu. Ila kulia lia hakusaidii chochote, soma historia ya Uislamu upate kujifunza mengi na kuona mtume alikuwa anaamiliana vipi na wasio kuwa Waislamu na mambo mengine hasa ya utawala.

Ahsante.

"400kV Tapped"
 
Askofu ni msomi na kauli zake zinatoka Kisomi hata polisi wanakosa pa kuanzia, huyu mwingine ana elimu ya madrassa tu.
Ina maana Madrasa hatusomi siyo ? Sasa usomi gani ambao unashindwa kumfundisha mtu hata namna ya kuhakiki maandiko yake na kujua ukweli wake au usomi gani ambao hata haumfundishi namna ya kuondoa najisi katika nguo yake ? Wakristo huwa mna vituko sana, pale mnapo dai usomi kumbe ni mahaba na upofu tu.

Ahsante.

"400kV Tapped"
 
huyu anapgiwa magoti kanisani na kuwasamehe waumini dhambi ila kwa waislam hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwasamehe watu dhambi isipokuwa MUNGU mmoja
 
Kwa sababu mashehe wanatumia mihemko ila Askofu anatoa hoja konk
 
Tuko waislamu wengi sana hapa TZ, tunao uwezo wa kubadilisha mfumo wa utawala, Tukitaka tuwe na sauti au power ya kuweza kuhakikisha Serekali inawatendea haki wananchi wote bila ya ubaguzi ni lazima tuwe na mfungamano na tuweze kuwachagua viongozi wazuri na tunaowalipa mishahara ili waweze fanya kazi.
Mimi ni Muislamu mwenzako kadhalika, Uislamu hauwezi kupata nguvu kwa njia hii, hata siku moja na haikuwahi kuwa hivyo.

Uislamu au Waislamu wanapata nguvu kwa kuufata Uislamu unavyotaka na kuufanyia kazi.

Ahsante.

"400kV Tapped"
 
Back
Top Bottom