Fuatilia ni kina Nani na wanaua dini ganiKumbe wewe unaweza ukawa na umri mkubwa ila unaongeza upumbavu. Unadhani anti balaka ilitokana na nini? Kama chanzo hujui utajua kinachotokea kweli?
Haukuna ulichoandika akamatwe kwa lipi!?Kwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Nashangaa sana aina hiyo ya kwenda mbinguniInakuaje mtu anakufundisha kujilipua na kukwambia utaenda mbinguni wakati ye mwenyewe hataki kujilipua....
😂😂😂😂😂Habar wadau,
Nia ya uzi wangu sio uchochezi wala udini ila nimeona nikumbushe Ndugu zangu Waislam Tanzania na Duniani kote kuwa Hii dunia ya Leo tunayoishi sio sehemu salama kwetu kwa sababu ya watu ambao wameshatuchafua Sana Tena wengine kwa maslai yao na Wengine kwa kutaka kuupoteza ukweli juu ya Dini yetu...
Wewe mwenyewe ulitakiwa uwekeze sana kwenye elimu kabla ya kumwambia mwenzako.Halafu ungewekeza kwenye elimu.maana bandiko lako lina makosa mengi sana ya kiuandishi. Ndo maana hata waraka unaweza kukushinda ujipange vipi kuandika kitaalamu.
LAZIMA TUWAFUNDISHE NIDHAMU SIMPLEHabar wadau,
Nia ya uzi wangu sio uchochezi wala udini ila nimeona nikumbushe Ndugu zangu Waislam Tanzania na Duniani kote kuwa Hii dunia ya Leo tunayoishi sio sehemu salama kwetu kwa sababu ya watu ambao wameshatuchafua Sana Tena wengine kwa maslai yao na Wengine kwa kutaka kuupoteza ukweli juu ya Dini yetu...
Ww kweli Chizi..aka hamnazo
Anti balaka waislamu?
Alafu nyie mna mkubali sana Gwajima maana bila kumtaja amjisikii Raha ,mtoa hoja acha uchochezi!!
uko Tanzania hii hii au ndo kujitoa ufaham kusudii au ni umeme mdogo kabisaaaaaaa kwakooo
Mambo yanaenda kidigitali Kama awatowi mawaidha wanatoa walaka ,ujuwe tumevuka kimaendeleo ,usiclemishemkome kuongea ongea ovyo!
mnatakiwa mfate na kutenda yale mtume muddy(S.A.W) kawaaseni sio kuingilia mambo ovyo!
wapi quran imesema mue mnatoa waraka?
pumbavu kabisa badala ya kutoa mawaidha/dawa mnatoa waraka
Usiseme Gwajima mkrisho awezi kufanyw lolote ,sema ajakutw na hatia , acha kupotosha watu wewwYani hiyo namba moja hebu kaa tafakari ulichoandika.
Acheni habaribza udini nyie jamaa