Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Msidhani hatuna akili ya kuona udhalimu huu dhidi yetu Waislam, mambo kama haya ndio hupelekea kuanzishwa kwa vikundi vya kigaidi.

Lengo linajulikana kuwa ni hilo, mnaweza kuanzisha tu kadri mlivojipangia ili serikali ipambane nanyi. Lakini haiwezekani Tanzania ikawa inapata viongozi kwa vigezo vya dini, ukabila n.k. Sifa za uongozi ziwe ni uwezo wa mtu siyo dini, kabila lake au vinginevyo. Huwezi kumpa mtu uongozi kwa sababu ya dini, na huwezi kumnyima uongozi sababu ya dini yake pia.
 
Watu wawili walijipanga kumtukana mtu alikuwa umbali kidogo.
Mmija angenyosha mkono na kidole chake kumuelekea huyo mtu na Mwingine angetukana matusi mazito kwa kinywa chake kwa sauti.
Je kati ya hawa nani ambaye yule mtu angekuja kumkamata kwa kumtukana?


Yule aliyenyoosha kidole.
 
Hoja yako ni dhaifu isiyo na mashiko. Sheikh Ponda amekamatwa kwa sababu ya ugomvi wake binafsi na wake zake nyumbani hadi tuache kuhusisha kukamatwa kwake na Uislam?

Waraka umetoka kwa Shura ya Maimamu Tanzania, sio Uislam huo?

Kiongozi wa shura kaukana sio wao? Je, huoni kuwa taasisi ya shura imetumika vibaya kinyume na matakwa yao?
 
Hizo njama zenu Tumeshazijua kujifanya wanaharakati mnajua mambooo
Acheni hizo
 
Kwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.

Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Kama wewe ni muumini wa haki kweli ulisema nini baada ya shambulio la lissu?, Nini umezungumza kuhusu kamatakamata ya wapinzani? Au uumini wa haki Umeanza jana!
 
Uislam ni mzuri ili Kuna wachache Wanauchafua duniani tena kwa manufaa yao ya kiuchumi na kiutawala. Kwanza nyie binafsi mnonaga wengine hatuna dini Yani makafiri sugu. . .

Hilo sio hoja ,lkn hoja ni nyie kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa wakati Kuna nchi duniani wanawaona nyie ni wazee wa kujilipua.(muhanga )Hamuoni hasara kuvaa grenades baada ya swala Kisha kuingia kwenye mkutano au maandamano ya kisiasa . Ndo chanzo cha ukunguni hapa.

kwa Tanzania tunaishi vizuri na nyie ,Bado hamjafika kwenye ujinga huo .
 
Ukitaka kujua ulichosema hapo mwishoni ni ukweli mtupu, jiulize, ni kwanini kipindi cha Corona ugaidi ulisimama?
 
umeongea vizuri sana. Huyu issa ponda anaanga sana udini hata hoja zake si za kutetea wananchi kwa ujumla bali ni za kidini. Huyu si mtu mzuri sana kwani anaweza sababisha vurugu kati ya waislam ba wakristo.
Umesoma waraka? Kasome kwanza ndo uje uandike
 
Na Tundu Lissu angekua muumini tungesikia mengi kutoka kwa waamini maana hawaangaliagi uonevu beyond their religion
 
Askofu gani kaandika waraka wa uchochezi? Tunafahamu asilimia 80 ya makundo ya kigaidi ni ya waislamu. Sehemu nyingi duniani. Hawa ndo walileta ugaidi n.k sehemu nyingi zimeharibiwa na waislamu magaidi. But wapo waislam wenye roho safi ambao hawapo tayari kuua kwa kisingizio cha dini. Wapo.
Anti balaka waislamu?
 
Back
Top Bottom