assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Hembu eka utofauti.Uchochezi wa ponda na Bagonza ni tofauti, jaribu kufatilia maandiko yao utaona ukweli
Kauli hii naipende sana, nimeitumia sana humu! Chama unacho, tuyaache! Bottomline, Askofu Bagonza kauli ya kuvaa nguo nyeupe ambalo by any stretch of imagination huwezi ku-link na sedition!mimi sina chama bali muumini wa haki.
Very sad indeed is like black live in America no one care, second class citizenwengine haya tuliyaona kitambo. Zama hizii tangu zinaanza kina Gwajima wanafanya vuruguu kwenye nyumba za ibada lakini serikali iko kimya. Waraka za kila leo kutoka za viongozi wa makanisa kuikosoa serikali tukawa twajisemea suala hili akifanya muislam tuu jela ndo makazi yake na kesi nzito nzitooo zinamfuata nyuma yakeee
Mkuu ni deadly au dead? mimi nadhani ni dead.I see my deadly body in grave
Weka humu waraka wa Askofu.... Sheikh anahusisha taasisi kwenye bifu lake na serikali;viongozi wa taasisi wamempinga. Jenga hoja kwa kujitegemea,sio kwa sababu fulani anafanya.
Sasa ccm ina haki gani au watu kupotezwa kwako ndio hakiKwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Ponda kamchochea nani?Uchochezi wa ponda na Bagonza ni tofauti, jaribu kufatilia maandiko yao utaona ukweli